A day in the Buddhist college

Mshana swali langu jingine nimeona umezungumzia kifo cha gafla lakin hospital wanasema ni shinikizo la damu je wawezaje tambua kifo ni cha utata je huo ugonjwa hauuwi manake SKU izi watu wengi wanakufa kwa huo ugonjwa ina maana wanachukuliwa au
Ile ni kupeana tu maarifa..! Mtu akishakufa amekufa...kila kifo hakikosi sababu
 
Hahaa...teteeeeh....kweli ukilewa chako uliwa na mgema! heti kujifunza 'Elimu isiyojulikana'-ka haijulikani mnafundishwa nini na nani na kwa nini......@mshana jr hapa......

Kupata ufahamu wa juu zaidi kuhusu elimu isiyojulikana
 
Je kifo cha mazingaumbwe nasikia ukiangalia mguu mmoja unakua mfupi ni kwel hili
 
Maandalizi ya kuwa na kituo cha kwanza cha utafiti wa imani mbalimbali yameanza. Kitaitwa MULT-FAITH RESEARCH SOCIETY tutakuwa na wakati mzuri hapo
Huko ulipokuwa naamini kulikuwa na viapo kwani inaonekana humu JF kuna wenzako wanafahamu hivi vitu ila wanaogopa kuvisimulia,je mshana huoni kwa kuanzisha hiko kituo utahatarisha maisha yako?
 
Binafsi hakuna thread ambayo nimwahi kuisoma word to word kama hii,pamoja na kituo cha utafiti je hauna wazo la kuchapisha vitabu? naomba unitag mada zako kama hiyo ya "siku hizi matendo hayaendani na matendo" na "PATO"
 
Duh
Unamaanisha meditation? Maisha yetu chuoni yalijaa meditation lakini ile ya kukaa kimya kwenye lotus posture (yenye maumivu mengi sana) ilikuwa ni dk 50 kila siku lakini pia tulikuwa na meditation retreats za siku 3,5 na 7
 
Binafsi hakuna thread ambayo nimwahi kuisoma word to word kama hii,pamoja na kituo cha utafiti je hauna wazo la kuchapisha vitabu? naomba unitag mada zako kama hiyo ya "siku hizi matendo hayaendani na matendo" na "PATO"
Wengi wameulizia kuhusu vitabu lakini bado sijafikia maamuzi
 
Initial/basics ni miaka miwili baada ya hapo unaenda Asia miaka mitatu, mwishoni mwa mwaka wa tatu unafanyiwa ordination kuwa official Buddhist master
Ordination si kitu kidogo nikitu kikubwa mno kwakuwa ndio unapigwa mhuri rasmi
Mhhh nini kilikuvutia na hii kozi?
 
Back
Top Bottom