20% na Kili Awards

Kura zangu sikupiga bure, nilimpigia kura 6 ktk kategori 4 na kashinda 5. Safi sana 20% aluta continua.
 
tatizo ni hili, tuzo za dizaini ya kili hazimsaidii chochote msanii wa tz. maana ziko kiwizi wizi..hata mpoki basi hata mm naweza kuipata.
 
yaleta raha ndani ya roho! Yupo juu! Mungu azd kumbarik 20%. Wera, wera, weraaaaaa!
 
Baadhi ya wasanii wetu wanafanya kazi kubwa sana na bahati kazi hizo haziwalipi kulingana na ukubwa huo. Ifike mahala wasizugwe na hizi tuzo,kubwa zaidi wasaidiwe kwa dhati ili malipo yao yaendane na kazi zao. Hapa wametangaza tu biashara za wengine.
 
nimefurahia sana na sijakwazika kwa hili ila imsaidie afanikiwe kimaisha pia
 
20%20% Noma kweli hajatundea haki mashabiki kwa kutokea mjengoni. anakubarika ile mbayaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
ki ukweli wana jf uyu jamaa noma na kafunika mimi binasfi nilianza kumjua pale alipo wafungua masikio ma balozi wa njee kwa nyimbo inayo muelezea kijana wa tanzania alivyo choka na maisha ya kunga(kijani ukumcheki) unga hadi wakabidi wamulize preznt, pili mama nema, tatu mane mane,nnr bange, malumbano, na tamaa mbaya kiukweli ni ushindi kweyu sote kutokana na kuelimisha jamii na kueleza reality ya maisha ya wengi vijana wa Tz yani ma SHALOBALO SHEM UPON THEM kwa vijinimbo vyao vya kusadikika na kufikilika( mpenz jini,mpenz fulani yani jina tu ninabadilika maneno yote yale yale, kuonyesha wanaisha kifahali wakati walio wengi tunawafahamu ni ziki tu zinawaandama(si tondo ccm, mtoto wa jk nk):angry:
 
Sipendi Bongo Flava hata kidogo............................Lakini huyu mtu uwa nahisi alilelewa maisha magumu sana na ndio maana hataki kulemba.Good 20%
 
20% hard work pays

kamua mazee.... ushinde na mwakani, usilemae na tuzo

waepuke clouds ni wanyonyaji tu
 
Jamaaa yuko simple full ujumbe, ukisikiliza wimbo wa money money, mama neema,ya nini malumbano na tamaa mbaya utajua huyu jamaa mashairi yake yako next level.Anastahili hizo tuzo
 
yann malumbano ya nn maneno,najiweka pembeni niepuke msongamano,bonge la message,sharobaro jifunzeni kubadilika.jamaa anatisha sana
 
Nimesikilza nyimbo zake kama mbili hivi sasa, jamaa anatisha, mashairi yake yana ujumbe na mziki umetulia.

Hongera 20%.Kwa nini anajiita 20% na sio 100%

ONYO: Angalia usidanganywe na clouds FM, watakunyonya kama Diamond na kisha kufutika katika anga za muziki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom