incredible terminator
JF-Expert Member
- Aug 1, 2016
- 2,229
- 3,525
Inasikitisha sana licha ya Tanzania kuwa Taifa lenye vijana wengi wenye vipaji vingi pia.
Lakini hatuna vijana wengi wanaojulikana kimataifa kama mataifa mengine, Tukiangalia mataifa mengine Kama Nigeria ndio taifa ambalo msanii anatoa hit song moja ila anahit na kuwa nominated kwenye tuzo kubwa na value yake ya kuperform inapanda na kupita hata wasanii wakubwa mfano mzuri ni watu akina REMA, SIMI, na wengineo, ambapo hata hao wasanii wakubwa Nigeria miaka hiyo walitambulika na kupata umaarufu kwa ngoma moja tu.
Ila hapa nimegundua sio kwamba hatuna vipaji ila tatzo Bongo Uteam unaponza sanaa yetu kias kwamba wasanii wazuri ambao hawafungamani na Team yeyote hawazingatiwi.
Kuna kizazi hiki cha vijana ambao wametoka 2022,-2024. Kusema kweli ni vijana wanaojua mziki sana ila cha ajabu naona attension imeshuka tena kwao yaani msanii mchanga anaonekana tayari keshazeeka kwa sababu hazingatiwi tena
1. Dayoo
2. Lody music
3. Lony music
4. Ronze
5. Michu,
6. Mapanch BMB
7. B2K
8. Mavokali
9. Platform
10, Bryban.
ONGEZA AMBAO NIMESAHAU HAPA...