20% na Kili Awards

Matusi ndio lugha kuu ya machokoraa, wewe ni chokoraa huyo 20 % ni chokoraa, hao kili awards ni machokoraa, mnashida, dhiki na hata akili zenu zimerithi umasikini kutoka kwa wazazi wenu na mtawarithisha watoto wenu uchokoraa, unanuka uchokoraa. Huna haja ya kuja kutukana hapa badala yake nendeni mkafanya kazi ili mpunguze uchokoraa kwenye familia na koo zenu, ninyi machokoraa ndio mnatuaibisha hapa tanzania na uchokoraa wenu. Chokoraaa na tuzo za machokoraa.

Sasa naamini akili yako sio nzuri....mpaka sa hizi uko tu kwenye post hii

Nahisi utakuwa mwanamziki uliepigwa chini na dogo...........kama ulikuwa hutaki apate tuzo ungempigia basi mwinggine kura nyingi ili "chokoraa" ashinde.............naona unachofanya hapa ni uchizi zaidi ya uchokoraa
 
Binafsi namkubali sana 20% kuanzi binti kimanzi mpaka tamaa mbaya ila sio sababu ya kuwaponda wengine bali kuwashauri na kumsihi 20% aendeleze umakini wasinii wa muziki wa kizazi kipya wana matatizo sana... Kuna msanii aliepata mauzo na show kama Mr. Nice yuko wapi leo? Je mnajuwa alipokuwepo 20% jana usiku hata ashindwe kutokea kupokea tuzo zake? Inafahamika kuwa 20% ni TEJA Hivyo bado kuna safari ndefu kwa wanamuziki wetu wa kizazi kipya inawezekana jana alizidisha DOZI
 
Matusi ndio lugha kuu ya machokoraa, wewe ni chokoraa huyo 20 % ni chokoraa, hao kili awards ni machokoraa, mnashida, dhiki na hata akili zenu zimerithi umasikini kutoka kwa wazazi wenu na mtawarithisha watoto wenu uchokoraa, unanuka uchokoraa. Huna haja ya kuja kutukana hapa badala yake nendeni mkafanya kazi ili mpunguze uchokoraa kwenye familia na koo zenu, ninyi machokoraa ndio mnatuaibisha hapa tanzania na uchokoraa wenu. Chokoraaa na tuzo za machokoraa.

Umekosa tuzo nini mbona una hasira sana na KILI MUSIC AWARDS?

20% yupo juu kama huwezi vumilia chimba shimo ujifukie

Inakuuma kutoka mtupu bila tuzo wakati 20% kazoa tuzo TANO!
 
Hakuna mtu katika ukoo wangu atakuja kupata tuzo za uchokoraa kama za kili, kwa sababu hakuna mtu anayefanya kazi za kichokoraa, na kama kwako 20% yupo juu jiandae kufuga ukoo wa machokoraa maana watoto wako utawa molds kuwa kama chokoraa 20%
 
Kwa mara ya kwanza niliposikiliza wimbo wake(TAMAA MBAYA), nikawaza kuwa kama na WAGOSI WA KAYA wangekuwa bado wamoja akongezeka na huyu(asilimia 20) na wengine waimbao nyimbo nzuri za kuhasa jamii....Tungekuwa na uwezo wa kujenga jamii yenye maadili mema. Bahati mbaya sana lulu kama hizi wakati mwingine zinalazimishwa kubadili mitizamo yao kutokana na "presha" za baadhi ya wanajamii wasiopenda uadilifu...mifano ipo mingi.....Hongera ASILIMIA ISHIRINI.....
 
Binafsi namkubali sana 20% kuanzi binti kimanzi mpaka tamaa mbaya ila sio sababu ya kuwaponda wengine bali kuwashauri na kumsihi 20% aendeleze umakini wasinii wa muziki wa kizazi kipya wana matatizo sana... Kuna msanii aliepata mauzo na show kama Mr. Nice yuko wapi leo? Je mnajuwa alipokuwepo 20% jana usiku hata ashindwe kutokea kupokea tuzo zake? Inafahamika kuwa 20% ni TEJA Hivyo bado kuna safari ndefu kwa wanamuziki wetu wa kizazi kipya inawezekana jana alizidisha DOZI
<br />
<br />
Acha uzushi ndugu yangu, 20% yuko location kwa ajiri ya movie yake ambayo itakuwa ya pili. Na kwa taarifa yako, hata movie ile ya kwanza ambayo iko sokoni toka mwaka jana ndo movie inayoongoza kwa mauzo katika historia ya filamu Tanzania. Kawafunika mpaka kima masharobalo kina kanumba, ray na hemed. The guy is focused, hana muda wa kubana pua!
 
Wape dozi hao! Mijitu mingine bana ssijui imeumbwaje. Kila kitu lazima ipinge, bila ya kuwa na hoja zozote za msingi. Kama wangekuwa hai, wangepinga hata mama zao kukubali dudu za baba zao wakati wanatengenezwa.
 
20% nami namkubali. Mara ya kwanza nilisikia tune yake ya Money Money...the guy has a unique voice.
Samahani, maana ya chokoraa ni nini?
 
Binafsi namkubali sana 20% kuanzi binti kimanzi mpaka tamaa mbaya ila sio sababu ya kuwaponda wengine bali kuwashauri na kumsihi 20% aendeleze umakini wasinii wa muziki wa kizazi kipya wana matatizo sana... Kuna msanii aliepata mauzo na show kama Mr. Nice yuko wapi leo? Je mnajuwa alipokuwepo 20% jana usiku hata ashindwe kutokea kupokea tuzo zake? Inafahamika kuwa 20% ni TEJA Hivyo bado kuna safari ndefu kwa wanamuziki wetu wa kizazi kipya inawezekana jana alizidisha DOZI

tusimhukumu kwa kutofika kwake pale hatuwezi jua kama Jide anasema haukutokea kwa kuwa hakupewa mwaliko pengine na yeye ana sababu za msingi za kutotokea pale,tusubiri atakuja na sababau zake na kutokea hapo tunaweza kumhukumu.
 
Dogo ni talent halisi...toka uswazi....
Sio promo...sio bana pua....he is himself....kudos 20%
 
Big Up 20%!!!!!!
Ninamkubali,na anastahili kabisaaaaaaaaaaa!!!!!

Tamaa Mbaya!!!!!!!
 
Ukweli ni kwamba 20% anakubalika sana ujumbe uliopo kwenye baadhi ya nyimbo zake ni mzuri. Wasanii wengine wakaze buti sio kumtusi eti chokoraa haisaidii hii kabisa ni chuki binafsi tu.
 
naona raia walimkamia sana kipindi hiki. Namkubali
Awards za 20% ni pigo kwa clouds fm hasa kibonde (CCM-uchwara) aliyemletea uchawi mpaka media zingine kama itv walipomnyanyua mzee wa kimanzichana karibu na bungu juu. Congrats 20%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%%
 
big up 20% haki yako kukomba zote ungekuwa 100% sjui ingekuwa vipi yaani unatisha baba
 
Kwa kwelii anastahili. Hongera 20%.

Huyo nduka mwenye akili za matope afadhali amekula ban. akayapumzishe matope yake kwanza.

Halafu mimii nashangaa hivi wale wanaoishinda kwenye BSS huwa wanaishia wapi maana naona lile shindano kama halina faida vile au ni la kutafutia pesa tu.
 
Hakuna mtu katika ukoo wangu atakuja kupata tuzo za uchokoraa kama za kili, kwa sababu hakuna mtu anayefanya kazi za kichokoraa, na kama kwako 20% yupo juu jiandae kufuga ukoo wa machokoraa maana watoto wako utawa molds kuwa kama chokoraa 20%

Too low for a Great Thinker
 
nilifurahi sana Masharobaro kutochukua TUZO hata moja,sasa hili ni anguko jingine kwa vijana wa ccm kwani hawa masharobaro ndio waliokuwa wanatumiwa kwenya kampeni zao......:smash:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom