Wanitakiani
JF-Expert Member
- Apr 18, 2008
- 641
- 135
Usitulazimishe wananchi wote tugome kwa lipi?? mimi sio mtumishi wa serikali ,mimi ni mkulima ,nimetumia elimu yangu ya juu kwa kilimo na inanipatia faida kubwa sana kuendeleza msisha yangu na ya familia zangu kwa ujumla...kama wewe umeshindwa kutumia akili yao uweze kuishi tafuta njia mbadala ba sio kuwashawishi wengine kwa malengo yako binafsi
Kama hivyo ndivyo fanya kupita tu Mkuu maana huna sababu ya kuchangia. Tuache sisi watumishi tunaokatwa kodi na hatupati hizo huduma za jamii tuchangie.