ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 43,112
- 49,826
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza.
Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna kinachoendelea wanakuja na visingizio vingine vya kijinga.
Nyie TRC/Wizara ya Uchukuzi mumevumiliwa sana kama TANESCO.
Heri ya Mwaka Mpya na kazi inaendelee.
---
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wanaohusika na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kuhakikisha inapofika Julai 2024 safari za kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma zinaanza.
Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 31, 2023 akihutubia nchi katika salamu zake za mwaka mpya 2024.
“Nimekuwa nikisikia mabadiliko ya tarehe za kuanza kwa safari za treni, na kwa kweli, wananchi wamechoshwa na vijisababu, wanataka kuona reli ikifanya kazi. Sasa, naelekeza, ifikapo mwisho wa Julai 2024, safari kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma zianze,”amesema Rais Samia.