zuio

Zuiō-ji (瑞應寺) is a Sōtō Zen monastery in Niihama, Ehime Prefecture in Japan.

View More On Wikipedia.org
  1. Nyankurungu2020

    Zuio la mahindi kwenda Kenya tusiwatupie lawama Wakenya. Nchi yao inayo haki kulinda raia wake

    Inashangaza sana kuona watu wanailaumu nchi ya Kenya kuzuia mahindi toka Tanzania kuingizwa nchini humo. Watu wengi wanailaumu Kenya kana kwamba haina mamlaka ya kulinda raia wake na mipaka yake. Kama mahindi ya Tanzania au nchi nyingine yamepimwa mamlaka husika za Kenya na kuonekana yana sumu...
  2. J

    Je, zuio la mikutano ya upinzani kwa miaka 5 ni faida au hasara kwa waliotoa wazo hilo?

    Bashiru na polepole hawana tena uwezo wa kuiokoa ccm isife. Chama kimegawanyika vipande vipande kwa sababu ya watu hawa wawili. Hawakuwahi kuwa wana CCM kabisa, wamekuja wameleta aidia za kizamani kabisa wakidhani Watanzania wako stone age. Hawa wapo chamani kwa maslahi yao tu ya kupata pesa...
  3. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Polisi waondoa kizuizi alichowekewa Tundu Lissu Kiluvya. Asema anaendelea na safari yake

    Baada ya mapema leo polisi kuzuia msafara wa Tundu Lissu eneo la Kiluvya, hatimae wameondoka na kuacha uendelee na safari na Lissu amesema ataendelea na safari yake kama ilivyopangwa na atakutana na wanachama usiku huu. Baada ya polisi kuondoka, Lissu ameongea yafuatayo. LISSU: Nasikia hata...
  4. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 CHADEMA: Tunamuunga mkono Maalim Seif kwa Urais Zanzibar. Lissu hataendelea na kampeni, atapangiwa majukumu mengine

    Kwa mujibu wa Tumaini Makene: Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Mhe. Freeman A. Mbowe leo Jumapili, Septemba 4, 2020, saa 7 mchana atatoa tamko, kupitia Mkutano wa Waandishi wa Habari, kuhusu maazimio ya Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Chama kilichoketi jana na kumalizika usiku jijini Dar es Salaam...
  5. S

    Uchaguzi 2020 Hivi Sheria inaruhusu kuzuia Kampeni na Uchaguzi zisiendelee kwa kuomba Zuio la Mahakama iwapo mmoja wa wagombea Urais anahisi kutotendewa haki?

    Swali: Iwapo ikatokea Tume ya Uchaguzi ikamuengua mgombea Uraisi wa chama kimojawapo;je, mgombea husika anaweza kwenda mahakamani kupinga uchaguzi huo na kuiomba mahakama isitishe mchakato wte wa uchaguzi mpaka kesi ya msingi iishe mahakamani? Kuna dalili naziona na bila shaka sio mimi peke...
  6. mkiluvya

    TRA yawaelimisha wafanyabiashara Jijini Dar es Salaam kuhusu kodi ya zuio

    Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imewaelimisha wafanyabiashara wa maeneo ya Tabata jijini Dar es Salaam kuhusu Kodi ya Zuio na kutoa wito kwa wamiliki wa majengo, fremu na ardhi kuwaruhusu wapangaji wao kuzuia kodi hiyo ambayo ni asilimia 10 ya kiasi cha malipo walichokubaliana katika mkataba wa...
  7. Analogia Malenga

    WHO yatoa muongozo wa vitu vya kuangalia kabla ya kulegeza masharti ya zuio la kubaki ndani

    Korea Kusini, China na Ujerumani vimekumbwa na maambukizi mapya baada ya kuondoa katazo la kubaki ndani. Kutokana na sababu hiyo, Shirika la Afya Duniani imetoa muongozo wa kuondoa zuio la kubaki ndani WHO imeshauri kuwa kabla ya kuondoa zuio nchi yapaswa kujiuliza kama gonjwa limeshadhibitiwa...
  8. J

    Siasa kwenye Corona ni matokeo ya zuio la mikutano ya vyama vya siasa, wanasiasa wana " kiu" ya kuongea chochote wajulikane uwepo wao!

    Kuna baadhi ya vyama vya siasa vinatumia janga hili la Corona kutukumbusha kuwa na wao wapo baada ya kuwa wamesahaulika kwa miaka 5. Kwa sasa Corona inazungumzwa zaidi na wanasiasa kuliko wataalamu hali inayofanya hata mapokeo yake kwa baadhi ya watu kuwa na mrengo wa kisiasa. Hii haina afya...
  9. Erythrocyte

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Chalamila astuka , Atengua zuio la kufunga Bar kuzuia Corona

    Hapo Jana Mh Chalamila aliweka utaratibu wa wanywaji wa Mbeya , kwa kutoa muda wa hadi saa 3 usiku wawe wamepukutika kwenye mabar , kwa hoja kwamba baada ya muda huo wengi wanakuwa wamelewa kiasi cha kukiuka kinachoitwa Social Distancing ili kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona . Lakini...
  10. Miss Zomboko

    Urusi: Zuio la watu kutoka nje lapelekea jirani kuwaua wenzake 5 kwa madai kuwa walikuwa wakipiga kelele

    Kila jambo huja na maajabu yake! Katika hali ya kushangaza, mwanaume mmoja anashikiliwa na polisi nchini Urusi kwa kosa la kuwafyatulia risasi na kuwaua watu watano kwa madai kuwa waligoma kupunguza sauti zao wakiwa karibu na nyumba yake, huku kukiwa na marufuku ya kutembea nchini humo. Tukio...
  11. S

    China: Wakazi wa Wuhan kuondolewa zuio la kusafiri Arpil 8

    Baada ya wakazi wa China kuwekewa vizuizi vya kusafiri kwa wiki kadhaa, hasa kuingia jimbo la Hubei (lenye mji wa Wuhan, kitovu cha corona) kwa karibu miezi 2 ili kuepusha kusambaa kwa korona, zuio hilo litaondolewa rasmi April 8. Wakazi wa Wuhan watakuwa huru kusafiri popote nchini kuanzia...
  12. Chagu wa Malunde

    Kumbe halikuwa zuio la mikutano ya kisiasa bali ni zuio la mashindano ya kisiasa

    Mh Rais Magufuli alitoa tamko kuzuia mashindano ya kisiasa kwa nia njema kabisa atekeleze ilani ya chama chake kwa kuchapa kazi kama kauli mbiu ya chama chake inavyosisitiza"hapa kazi tu" Lakini hakuzuia mikutano ya kisiasa kwa nia njema pia akitaka pasiwe na vurugu wala mwingiliano wa mikutano...
  13. Analogia Malenga

    Maembe aiomba BASATA na TRA kutowatoza kodi wasanii kwa muda huu wa zuio la mikusanyiko

    Msanii wa muziki wa asili Vitali Maembe aliyewahi kutamba kwa kibao cha ‘Suma ya teja’ ameiomba serikali kuwasaidia wasanii kwa kipindi hiki cha marufuku ya siku 30 kama alivyotangaza waziri mkuu Maembe ameiomba Wizara, BASATA NA TRA kuwapa unafuu wasanii kuwa kutowalipisha kodi kwa mwezi huu...
  14. Suley2019

    Australia yaongeza zuio kwa Wananchi wake kwenda nchini Italia. Yaongeza fedha zaidi katika mfuko wa afya ili kupambana na Covid 19

    Waziri Mkuu wa Australia Bw. Scott Morrison akiwa katika mkutano na waandishi wa habari alitangaza kuongeza zuio la wananchi wake kusafiri kwenda nchini Italia ikiwa ni miongoni mwa mkakati wa nchi hiyo kuwalinda Wananchi wake dhidi ya ugonjwa wa Covid 19. Sambamba na hilo, meelezwa kuwa nchi...
  15. DocJayGroup

    Kwanini Ebola? Ikulu ya Marekani yasema Tanzania kushindwa kutoa taarifa za Ebola ni moja ya sababu ya zuio la waTz kupata viza ya Marekani

    Hatimaye Ikulu ya Marekani imetoa taarifa rasmi ya sababu za kuweka zuio kwa WaTanzania kusafiri kwenda Marekani. Zuio hilo lilitangazwa tarehe 31 January 2020 ambapo nchi 4 za Africa za Tanzania, Nigeria, Eritrea, na Sudan ziliwekewa zuio hilo. Kwa taarifa kamili soma ripoti inayosema...
  16. B

    Dodoma: Wabunge wanena kuhusu zuio la Marekani kwa Makonda

    February 4, 2020 Dodoma, Tanzania Viwanja vya Bungeni: Wabunge watoa maoni zuio la Marekani Naibu waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania Mhe.Constantine Kanyasu azungumza kuhusu zuio la Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Paul Makonda, kwenda nchini Marekani na kusema haliwezi kuathiri Sekta...
  17. YEHODAYA

    Statement ya Marekani ya zuio kwa watanzania ina utata huu kisheria

    Kwenye Sheria kuna vitu viwili kuna credible evidence na credible information Marekanii walichonacho sio credible evidence wana credible information Statement yao kifupi eneo lenye utata hii hapa, na I quote "Department has credible information that Makonda was involved in such violations in...
  18. DocJayGroup

    Zuio Kwa WaTZ: Wahi Ubalozi wa USA Kabla haijala Kwako Kama Ulishinda Viza ya Kukupa Makazi ya Kudumu Marekani

    Kila mwaka, Marekani inatoa makazi ya kudumu kwa watu 50,000 kupitia mchezo wa bahati nasibu. Mchezo huo, unachezwa kuanzia mwanzoni mwa mwezi Oktoba hadi Mwanzoni mwa mwezi Novemba. Leo hii, Serikali ya Marekani imetangaza kwamba waTanzania wote watazuiliwa kwenda Marekani kupitia bahati na...
Back
Top Bottom