utopolo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Ni ngumu kuwafunga Yanga fainali kwa hali ilivyo

    Nimeangalia mechi vs Geita Gold nikabaki natikisa kichwa tu...dah kwa kweli kazi ipo..ukweli ni kwamba mechi ya fainali hiyo trh 28 utopolo ndiye favourite kushinda hata makampuni ya betting yatampa yeye. Wachezaji hawana fitness hadi nimemkumbuka yule Mtunisia , najua kila team kuna wapiga...
  2. C

    Kama kawaida Yanga wanabebwa tena

    Nimefurahi hawa utopolo kubebwa tena kama walivyobebwa Premier. Acha hawa kamati ya mapokezi mwaka huu wafurahi kidogo
  3. N

    Jiandaeni kesho kwa press conference ya utopolo baada ya Simba kufanya yake

    Yes kesho by mchana au saa kumi kutakuwa na press conference ya kupotezea tukio zito la leo la simba kutoa kichapo cha mbwa mwizi kwa wa niger Kabla ya press conference hiyo tarajia HABARI ZA UZUSHI KUANZIA ASUBUHI ZITAKAZOSAMBZWA NA MAKANJANJA kwamba GSM washakubaliana kumsajili Adebayor wa...
  4. N

    Rekodi nyingine tena ya Simba Afrika: Yanga haipo

    Nasema hivi facts hupingwa kwa facts utopwinyo ni watoto wadogo sana level za kimataifa, Simba 1974 kagonga nusu fainali , 1993 kagonga fainali sitaki hata kuzungumzia hizo robo fainali na group stages Haya sasa ifuatayo ni lists ya teams zlizocheza mechi nyingi zaidi kwenye hatua ya makundi...
  5. N

    Massau Bwire anasubiri adhabu ya TFF kwa waropokaji wa utopolo sc

    Kazi kwenu Tff piga faini malopolopo hayo ya utopwinyo
  6. Kichwamoto

    Uzuzu wa kisiasa,kidemokrasia na kikatiba Tanzania nini kifanyike?

    Habari za kutwa miamba na majabali ya jukwaa mujarabu. Rejeeni kichwa cha maada, nimetafakari nyakati nyingi na kwa marudio kwanini nchi hii ina ombwe kisiasa,kidemokrasia na kikatiba. Kwanini uhuru katika nyanja hizo si kipaumbele kwa Taifa hili? Mara nyingi maswali yangu hujikita...
  7. Theb

    GSM umekuja kuwaliza Yanga na sio kuwainua. Time will tell

    Wakuu wapenzi wa michezo na burudani na wasalimu kwa jina la kanuni na sheria za mpira. Leo tarehe 07/12/2021 nimeona mijadala mingi mitandaoni inayohusu udhamini wa GSM na TFF ambao bado kisheria ni mkataba usio fuata taratibu za michezo kama zinavyooainishwa kuanzia FIFA na CAF na hata sheria...
  8. Greatest Of All Time

    Yanga mlipeni hela zake Aucho na muache janja janja

    Yaani Aucho akiwa timu ya taifa ni mzima na anacheza tena kuna muda anavaa hadi kitambaa cha Unahodha. Akiwa Yanga utasikia, Aucho anaumwa hivyo atakosa mechi kadhaa😂😂 Waambieni ukweli mashabiki wenu, kwanini hamtaki kumlipa Sheikh Aucho? Kupost video instagram na kusema anaumwa bila...
  9. Action and Reaction

    Simba inaendeshwa kwa hasara kuliko Utopolo

    Napingana na Engineer kuwa Utopolo inaendeshwa kwa hasara kwani Mo Dewji aliposema Simba inaendeshwa kwa hasara walimtukana wakiongozwa na Msukule wao .. Yanga pamoja na waandishi Mazuzu walimsema vibaya Sana Mo... kwamba anakula mpunga kijanjajanja pale Simba! Hivyo Engineer sikubaliani nawewe...
  10. C

    Dilunga alimkoseaga nini Gomez? Nimepumzika na utopolo

    Dah mechi ya utopolo alikwasha akambana Djuma Shaban kupanda akatolewa leo tena katoka naona Peter Banda kaboa. Dilunga alimkoseaga nini mzungu. Asee na kwa urukaji ule wa pascal wawa mungu atusaidie tu Sibishani tena na utopolo tuwaachie ubingwa wao mwaka huu
  11. C

    Picha: Hatimaye Twiga wa utopolo pamoja na mlima Kilimanjaro wageuzwa mweusi

    NBC wame surrender kwa utopwinyo na kukubali kuharibu logo yao , inasikitisha sana ni vile Utopwenga hawana ga desturi ya kufikaga robo fainali ya champions league lasivyo wangejua ni lazima kuvaa nembo ya wadhamini wa CAf(total)wenye rangi nyekundu, watayajulia wapi wakati rounds za awali ndiyo...
  12. C

    Biashara akiingia makundi atapata points 2.5 za CAF sawa na Namungo Yanga wana 1

    Ikumbukwe hadi sasa TFF (Tanzania) tuna points 27.5 huko Caf zililizowezesha nchi kuingiza teams 4 yaani simba ana 24, namungo 2.5, utopwenga 1 Simba ni ya 15 kwa sasa ,namungo ni ya 60 hivyo biashara kiingia makundi atalamba points zake 2.5 na kumfikia namungo kwenya nafsi ya 60 huku mabingwa...
  13. Utopologist

    Baada ya ushindi wa Stars jana, tunaitoa kwenye list ya wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni Utopolo tu

    Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje. Wadau hivi mnaonaje, tuwapige ban hawa misukule kuliwakilisha taifa? Maana wanaleta aibu na fedheha tu. Kwenu...
  14. C

    Twiga kwenye jezi ya Yanga atakuwa mweusi mlima wa kijani

    Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni mbaaya kishenzi hadi ina mabondia na wacheza netball hay bwana kikao kimekaa jana na NBC wamekubaliana...
  15. C

    Yanga lazima wagombane na NBC wadhamini wa ligi

    Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au kijani, ni majitu fulani yasiyoheshimu watu hata nembo za wenzao hawaheshimu nakumbuka last year...
  16. M

    Utopolo huna namna! Usiyempenda kaja!!

    Usiyempenda kaja!! Utopolo huna jinsi, inabidi ukubali tu simba gari kubwa!! Likiwaka gari zote zilizotangulia zinakuwa kama baiskeli za miti.
  17. C

    Matangazo ya TPL ya TBC ni utopolo mtupu

    Kwa kweli na miss sana Ufm kwenye kutangaza hizi mechi, bahati mbaya haya majamaa ya tbccm yameshinda tenda ya kutangaza ligi redioni. Yaani kwanza mechi zote lazima dakika 5 zinapotea kwenye matangazo sijui wanashindwaje ku balance muda, ikifika half time uchambuzi ni hovyo kabisa ukitoa Jesse...
  18. C

    Mugalu kapost picha instagram saa 8 usiku akiwa anatafuta goli vs Yanga, atukanwa vibaya

    Kuna uwezekano MSHAMBULIAJI NAMBARI MOJA NA TEGEMO KUU LA SIMBA SC, Chris Mugalu akawa na ugonjwa wa akili nawaambia nyie hata kama ni mgeni hujali kuhusu derby kuwa na uchu basi kama wale vijana wa utopolo kina Aucho mbona wao ndiyo mara ya kwanza wamepambana wewe una mechi 3 na utopolo...
  19. OKW BOBAN SUNZU

    Yanga kutumia "Visit Tanzania" ligi za ndani

    Uongozi wa Yanga umethibitisha kuwa utaendelea kuvaa nembo yenye vivutio vya utaliiya Visit Kilimanjaro & Zanzibar kwenye jezi zao upande wa mkono wa kushoto katika mechi zao za ndani. . Uongozi umesema kutokana na mechi hizo zinarushwa na Azam TV hivyo upo uwezekano wa kuonekana na watu wa...
Back
Top Bottom