taasisi za elimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Taasisi zetu za elimu hazina michango ya kimawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa

    Taasisi za elimu ya juu miaka ya nyuma nakumbuka ziliweza kutoa mawazo na michango ya kimawazo juu ya mambo mbalimbali ya kitaifa na yaliweza kusikilizwa na kufanyiwa kazi na serikali kwa niaba ya Watanzania ambao hawajapata elimu kubwa. Imekuaje kwa vyuo vyetu vya wakati huu. Au cku hizi...
  2. Roving Journalist

    Watafiti 47 ambao wameshinda tuzo watangazwa na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia

    Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imetangaza watafiti 47 kutoka taasisi za elimu ya juu za umma na binafsi, ambao wameshinda tuzo kwa kuchapisha matokeo ya utafiti waliofanya kwenye majarida yenye hadhi ya juu kimataifa katika nyanja za afya, sayansi shirikishi, sayansi asilia na...
  3. G-Mdadisi

    Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
  4. M

    Posho za Staff wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania

    Wakuu Naomba Kujua Posho Za Ma Staff kwa Maana wale Non Academic Officer wa Taasisi za Elimu ya Juu Ukiachana na Basic Salary Je wanapewa fedha Za Chakula,usafiri na Nyumba kama zilivyo baadhi ya Taasisi zingine Na mashirika Mengine ya Umma?
  5. Lidafo

    SoC03 TAKUKURU tumieni njia hizi kupambana na rushwa ya ngono katika Taasisi za Elimu ya Juu

    Rushwa ya ngono imekuwa ni tatizo sugu hasa katika Taasisi za elimu ya juu, Usugu wa tatizo hili unachangiwa na pande zote mbili yaani mtoaji rushwa hapa namanisha wanafunzi lakini pia waombaji rushwa yaani wahadhiri na wakufunzi wa vyuo vikuu. Madhara ya rushwa ya ngono yanaonekana waziwazi...
  6. Baraka Mina

    Rais Samia: Tutaanza kutoa Tsh 10,000/= kwa siku kwenye pesa za kujikimu (Boom) kwa wanachuo

    Fuatilia matangazo ya mbashara (moja kwa moja) kutoka Ikulu Chamwino jijini Dodoma ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan anazungumza na wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo tarehe 11 Februari...
  7. chiembe

    Taasisi za elimu ya juu nazo zinasuburi mihadhara ya kisomi iruhusiwe? Sherehe muhimu Uhuru/mapinduzi ilifaa kuwa na mijadala ya kisomi.

    Sherehe za Uhuru na Sasa mapinduzi, zinaadhimishwa kwa kupanda miti/kufanya usafi. Nadhani uadhimishaji wa sherehe hizi uwe na mlengo wa kiuchumi. Yawepo mawasilisho ya kiuchumi kwa lengo la kusogeza nchi mbele. Maazimisho ya magwaride yanaweza kuwepo, lakini test ya kiuchumi ni muhimu...
  8. S

    Taasisi za Elimu nchini na matumizi ya Teknolojia

    Habari zenu wadau. Natumain hamjambo na mnaendelea vyema na majukumu yenu kujikwamua kiuchumi. Declaration of interest Niweke wazi kwamba mimi ni mdau na mpenzi wa technology kwa maana ya kusomea na katika kutendea kazi. Lakin pia nimekua mdau wa elimu kutokana kuutumia muda mwingi katika...
  9. The Sheriff

    Kuwezesha Ufikiaji Stahiki wa Elimu ya Digitali Katika Taasisi za Elimu ni Utekelezaji wa Haki ya Msingi ya Watoto, Vijana

    Katika zama hizi za digitali, moja ya mambo yanayoibua mijadala sana ni pamoja na suala la ‘ujumuishaji wa digitali’ au mfumo jumuishi katika masuala ya kidigitali (digital inclusion). Hii inatafsiriwa kama dhana inayoshughulikia masuala yanayohusiana na ujuzi wa kidigitali na ufikiaji wa...
  10. Roving Journalist

    Prof. Ndalichako: Serikali haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu

    Serikali imesema haitavumilia vitendo vya rushwa ya ngono katika Taasisi za elimu kwani ni ukosefu wa maadili na vinashusha heshima ya wanataaluma pamoja na taaluma katika taasisi hizo. Kauli hiyo imetolewa Desemba 07, 2021 Jijini Dare es Salaam na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof...
  11. Linguistic

    NACTE: IFM, CBE na Arusha Tech siyo Vyuo Vikuu bali ni Taasisi za Elimu

    Wale Mliosoma IFm,Cbe na Arusha Tech Pokeeni Hii Taarifa Wakuu. ---- Dkt. Geofey Oleke - Mkurugenzi wa Udhibiti, Tathmini na Ufuatiliaji NACTE amesema haya Watu huwa wanachanganya kati ya NECTA Na NACTE kwa sababu ya maneno kushabihiana NACTE ni baraza la Taifa la elimu ya Ufundi wakati NECTA...
  12. Analogia Malenga

    Wizara ya Afya yatoa muongozo wa kujikinga na COVID19 kwa taasisi za elimu

    Mwongozo huu unalenga kuweka mazingira wezeshi katika maeneo ya Taasisi za elimu ikiwa ni pamoja na; Vyuo, shule za sekondari, shule za Msingi, shule za awali na vituo vya kulelea watoto wadogo mchana (Day care centres) kabla ya wanafunzi kurejea shule na vyuo na kuendelea na masomo katika...
Back
Top Bottom