pharmacy

  1. P

    Nahitaji ushauri wa biashara ya Pharmacy

    Habari za muda huu wakubwa. Mimi ni kijana wa kiume ambae nimebahatika kupata sehemu yangu ya urithi toka kwa wazee wangu ambapo nimepata milioni 30. Nilikua naomba wazoefu, watu mnaoifanya hii biashara tusaidiane kwenye mambo kadhaa juu ya hii biashara kama eneo, mbinu za kuongeza mauzo, nk...
  2. KAGAMEE

    Naomba kujuzwa Chuo kinachotoa Certificate ya Pharmacy

    Wakuu heshima yenu. Niende moja kwa moja kwenye mada.Naomba kujua chuo kinachotoa certificate ya pharmacy ONLINE hapa tanzania.Mimi ni mwajiriwa wa serikali na nahitaji kusoma hii course. Natanguliza shukrani.
  3. E medics

    Natafuta nafasi ya kazi as Pharmacist asistant

    Habari, Natafuta nafasi ya kazi ya pharmacist asistant (pharmaceutical technician) Elimu: Diploma in pharmaceutical science (3yrs) sehemu ya kazi: Hosipitali, Pharmacy,Dukanla dawa Muhimu Uzoefu: Hosipitali 6months , Pharmacy :7months Mkoa: Dodoma, Morogoro,Arusha, kilimanjaro note: Uaminifu...
  4. P

    Sales Rep (2), Nikki Pharmacy LTD

    SALES REPRESENTATIVE (2) Nikki Pharmacy Ltd is the local registered company dealing with distribution of human medicine in Tanzania, located at Chalinze, Pwani. The company is growing fast and we are looking for two (2) qualified Tanzanian(s) to fill for the position of Sales Representative...
  5. Mkogoti

    Ukiwa unapita nje ya Duka la Dawa ukiona limeandikwa Duka la Dawa baridi huwa akili inafikiria nini?

    Habari Wakuu Heri ya jumapili! Mimi kwangu kwa akili yangu najua ni zipo kwenye friji 🤦😂😂 lakini nikiingia napewa za moto, najua kabisa lakini nafanya kusudi, Karibu tuichangamshe jumapili
  6. CASH MONEY BROTHER-CMB

    Mama muuza pharmacy Magu mjini

    Wiki jana nilienda Pharmacy moja kubwa tu maeneo ya magu mjini pembeni ya stand,nikamkuta mama mtu mzima kama miaka 50 hivi mnene kapanda hewani,Lengo la kwenda ile pharmacy ilikuwa kununua vidonge vya kuongeza nguvu za kiume maarufu,viagra! Yule mama akanieleza bei ni 2000 kwa kidonge kimoja...
  7. C

    OMBI: Serikali idhibiti bei kwenye vifaa vya kujikinga na kupambana dhidi ya Virusi vya Corona

    Tatizo kubwa hapa nchini ni kwamba pale inapotokea janga, mlipuko wa ugonjwa basi wafanya biashara hutumia nafasi hiyo kujinufaisha. Kuna vifaa kama hand sanitizer, medical face masks vimekuwa katika uhitaji mkubwa sana kwa ajili ya kujikinga na virusi vya corona. Serikali kupitia waziri wa...
  8. Kibaba MFS

    alpha - Medical Practice Management System

    A Robust Hospital Management System for Hospitals, Clinics, Pharmacies and Laboratories. So what we are, real? An integrated Information System for managing all ways of a hospital’s operations such as medical, financial and administrative tasks It is a web based Application that works with all...
Back
Top Bottom