Kwanini hadi leo NATO na Israel haijangia kwa miguu gaza?

Malaria 2

JF-Expert Member
Oct 17, 2023
2,648
3,936
Palestina hana silaha kubwa. Yeye anatumia manati na jiwe huku NATO na Isreal wakitumia mabomu yenye kuangamiza na yaliopigwa marufuku duniani.

Lakini kwanini hadi leo wanaogopa kuingia kwa miguu? Soma kidogo waislam wanavyopigana.

SOMA
Siku ya tarehe kumi na saba ndani ya mwezi mtukufu wa Ramadhani ina tukio kubwa kwa waislamu wote, ni siku ya kumbukumbu ya vita ya Badri, ambayo ni vita ya kwanza baina ya waislamu na Wakuraishi, pia vita hii ni miongoni mwa vita mashuhuri zaidi iliyo ongozwa na Mtume (s.a.w.w) , ina nafasi kubwa katika historia ya kiislamu ukilinganisha na vita zingine, maswahaba walio shiriki katika vita hii wamepata heshima kubwa na utukufu wapekee kabisa, historia imeelezea ushujaa wao kwa utukufu mkubwa. Baada ya Mtume (s.a.w.w) kufahamu idadi ya wapiganaji wa makuraishi na viongozi wao.

aliwaambia wapiganaji wake walio kua wachache na wenye siraha duni za kivita ukilinganisha na makuraishi, Mtume (s.a.w.w) akasema: (Hawa watu wa Maka wamekujieni na wapiganaji wao hodari). Vita ikaanza, Ali (a.s) akaingia katika uwanja wa mapambano, majeshi mawili yakaanza kupigana kwa mishale na majambia

Mwenyezi Mungu (akatoa amri Malaika wakaingia vitani kuwasaidia waislamu), wailamu wakawashinda washirikina… na ushindi wa waislamu ilikua ni ahadi ya kweli ya Mwenyezi Mungu, waumini wakajaa imani zaidi, wakawauwa washirikina kwa jambia zao, upanga wa Dhulfiqaar uliua nusu ya washirikina wote walio uawa katika vita hiyo.

Makuraishi waliumizwa sana kwa kuuawa kwao lakini wakaficha machungu yao mbele ya Mtume na maswahaba wake…
 
Hata mwanamke kabla hujamwingilia lazima umwandae vizur akishalegea na utelezi ukawa unamwagika sasa hapo ndio unapeleka moto, kwahiyo kaa kwa kutulia Hamas bado wanaliwa romance muda sio mrefu watalegeza misuli ya takle.
🤣🤣🤣Kila kitu maandalizi au sio?Bado Hamas anafanyiwa marination......mishkaki yenyewe kabla haijachomwa inamarinetiwa
 
Ukweli wa haki wanaogopa,mtu kaja kwako kakuchapa alafu kabeba mkeo na mabinti zako kaenda kuwapiga miti usiku kucha, vipi huyo mtu ukikanyaga kwake?.

Intarahamwe hawaapa wana patrol Gaza.
👇
images (6).jpeg
 
nakuchapa kwenu kisha nabeba mabinti chuchu saa sita nawapeleka geto.icho ndio walichofanya Hamas
Sasa mnatupigia makelele ya nini na kutuonyesha maiti za watoto mnaowatumia kama kinga mnapotandikwa nyie HAMAS.Kumbe mnastahili kabisa hiki kipigo ili muendelee kuanika maiti za watoto hovyo mitandaoni kwakuwa mnadhani hiyo ndiyo propaganda inayowasaidia.Kufeni kabisa kama nzinge.
 
Sasa mnatupigia makelele ya nini na kutuonyesha maiti za watoto mnaowatumia kama kinga mnapotandikwa nyie HAMAS.Kumbe mnastahili kabisa hiki kipigo ili muendelee kuanika maiti za watoto hovyo mitandaoni kwakuwa mnadhani hiyo ndiyo propaganda inayowasaidia.Kufeni kabisa kama nzinge.
Hamas kifo kwanza mengine baadae.
binti wa kinyamwezi Nyamizi umesikia huko tec wamebariki Dp World wafadhili wa Hamas wapewe bandari.

pasuka sasa😅😂
 
Back
Top Bottom