Duniani kuna mambo mengi ya ajabu!
• Unatambua kuwa maji ya maiti ndo uwaga kunatoka dawa inayoitwa mnyonshe(au shuntama) daa ni huzuni ili jambo sio pouwa maji ya maiti (ndo maji pekee wanayotumia waganga wa kienyeji kutengeneza dawa ya kuwatuliza wanaume ili wasiwe na neno ndani ya nyumba...
Mbali nchi kuingia kwenye aibu 90' za uwanjani, kuna aibu nyingine nchi imeingia.
Video inaonyesha jinsi mashabiki wa Yanga wakiwangia Club Africain. Maji hayo inasemekana ni maji ya maiti.
Mshana Jr maji ya maiti yana madhara gani kisayansi za uganga
Hiyo taarifa nimeisikia sikia nikawaza nani amesema hayo maneno. Nikaacha kuagizia samaki ugali kwa mama nitilie.
Na kwa kweli nimetapika sana. Nlianza kuingiwa na hasira, chuki na dukuduku. Kiukweli nilichochewa sana. Nlichochewa kufanya jambo baya.
Leo nani kasema mambo shwari tu aliyetoa...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Hamis Ulega amesema suala la maji ya kuoshea maiti kudaiwa kutumika kuhifadhia Samaki halina uhakika na kwamba ni hisia tu.
Akijibu swali Bungeni kuhusu taarifa hizo ambapo inadaiwa matumizi ya maji hayo yanasababisha Saratani kwa walaji, amesema “Siyo...
Binafsi napinga kauli ya makamu wa Rais kuhusu chanzo cha saratani kanda ya ziwa kuwa maji ya maiti yenye chloroform.
Ni heavy metals pekee kama mercury, lead, zinc na nyinginezo ambazo zinaweza kukaa kwa muda mrefu kwenye maji na ardhini hadi kuyeyuka kwenye maji na kudhuru watumiaji wa maji...
Salaam,
Tafiti zinaonesha kwamba wagonjwa wengi wa Saratani wamekuwa wakitokea Kanda ya Ziwa jambo ambalo linapelekea Serikali kuhangaika kutafuta sababu kwanini Kanda ya Ziwa?
Jana nimeona Mh Makamu wa Rais akiwa hospitali ya Bugando ameeleza moja ya sababu inayopelekea takwimu za saratani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.