jeshi la polisi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyendo

    Adaiwa kumuua mtoto wake na kumzika

    MKAZI wa Kijiji cha Sekedidi, wilayani Kishapu, mkoani Shinyanga, Lucia Mahazi (42), anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa kiume wa siku mbili na kisha kumzika, kwa madai ya kutelekezwa na mwanamume aliyempa ujauzito. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari jana...
  2. Miss Zomboko

    Jeshi la Polisi lapiga marufuku mikusanyiko kwenye sikukuu ya Eid

    Jeshi la polisi limesema kuwa sikukuu ya Eid el Fitri itasherehekewa huku dunia ikiwa imekumbwa na ugonjwa wa Corona, hivyo wananchi wanatakiwa kuchukua tahadhari. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Msemji wa jeshi la polisi, David Misime imeeleza kuwa jeshi polisi linatoa wito na...
  3. Influenza

    Baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko Dar: Jeshi la Polisi lawataka Wabunge walioko Dar kuripoti Kituoni

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar, limesema baada ya RC Makonda kutoa saa 24 kwa Wabunge walioko jijini humo kurejea Bungeni, limewataka wale ambao bado hawajaondoka, kuripoti kwa hiyari yao katika ofisi ya Upelelezi, Kanda Maalum kwa mahojiano
  4. Roving Journalist

    JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19

    Na Thompson Mpanji,Mbeya. JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19. Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia Baadhi ya Askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Usalama Barabarani katika vituo vya Nane...
  5. Jaji Mfawidhi

    Tetesi: Kuna pikipiki na bajaji zinazotumia umeme wa jua. Hivi askari wa usalama barabarani wana taarifa na pikipiki hizo?

    Katika hali isiyo ya kawaida inasemekana Jeshi la Polisi limelala usingizi wa PONO [samaki huyu hulala usingizi wiki mbili mfulilizo kwenye matumbawe]. Hali hiyo imekuja baada ya uwepo wa PIKIPIKI, VESPER NA BAISKELI za kisasa zenye kutumia umeme wa jua na umeme wa maji ambazo huchajiwa. Swali...
  6. Suley2019

    Dar es Salaam: Jeshi la polisi lamshikilia mkazi mmoja baada ya kumkuta anamiliki silaha kinyume cha sheria

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam linamshikilia Mohamed s/o Kassim miaka 47, mkazi wa Mbagala kwa tuhuma za kumiliki silaha aina fatih 13turukye Pisto yenye No, TZ C.A.R 1053515 ikiwa na magazine yake isiyokua na risasi kinyume cha sheria. Mnamo tarehe 07/04/2020 saa 12:30 jioni...
  7. C

    Kamanda Mambosasa na Jeshi la Polisi wasaidieni wananchi wa Kitunda Nyantila katika wimbi hili la uporaji

    Inasikitisha sana kuona watanzania wenzetu wakiishi maisha ya hofu kana kwamba hawapo nchini mwao, kule Kitunda kuna sehemu inaitwa Nyantila ambapo maduka zaidi ya 20 yamebomolewa na kuibiwa siku tatu zilizopita. Na yakaporwa tena jana, vijana wanapora adharani na wanaogopwa, watu wanakabwa saa...
  8. Geeque

    Faini ya Milioni 350 dhidi ya viongozi wa Chadema itumike kuwalipa fidia wazazi wa Akwilina

    Hukumu iliyotolewa na hakimu wa mahakama ya Kisutu jijini Dar Es Salaam ikiwataka viongozi wa Chadema walipe faini ya shilingi milioni 350 itumike kuwalipa fidia wazazi wa marehemu Akwilina Akwiline. Haingii akilini hii pesa kurudi serikalini wakati waathirika wakubwa wa mauaji hayo yaliyofanywa...
  9. mwanamwana

    Polisi: Mzee Philip Mangula amekutwa na sumu mwilini, ni baada ya kufanyiwa uchunguzi

    Jeshi la polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, ikishirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na Taasisi mbalimbali imebaini kwamba ndani ya mwili wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Mzee Mangula kulipatikana na sumu,uchunguzi kuhusu tuhuma ya sumu hiyo ilivyoingia mwilini upelelezi bado unaendelea...
  10. Erythrocyte

    Jeshi la Polisi lazuia Mkutano wa ndani wa Bavicha Sengerema

    Hii hapa nukuu ya Rais Mstaafu Dr Jakaya Kikwete kwa wanaccm mwaka 2012
  11. Alexandry Nemesi

    Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo. Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana. ====== CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
  12. Chagu wa Malunde

    Rais Magufuli, fanya mabadiliko Jeshi la Polisi

    Mh Rais wewe kama Amiri Jeshi Mkuu huu ndio wakati kulifanyia mabadiliko Jeshi la Polisi. Liwe jeshi la kisasa ambalo lina askari wenye weledi na maadili. Fanya mabadiliko liwe Jeshi la kulinda raia na mali zao na sio jeshi la kulinda watawala (legacy iliyoachwa na wakoloni). Fanya mabadiliko...
  13. Mwanahabari Huru

    Polisi Dar wazuia Mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Kibamba, John Mnyika

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limezua Mkutano wa Hadhara wa Mbunge wa Kibamba John Mnyika na Wananchi wake, Uliokuwa ufanyike leo Feb 8, 2020 kata ya Mbezi njee kidogo na Jiji la Dar es salaam. Polisi wamedai kuwa eneo la stendi ya zamani ulipotakiwa kufanyika mkutano huo kuna...
  14. Nzelu za bwino

    Hongera Waziri Simbachawene, lakini kuwa makini na Jeshi la Polisi

    Nakupongeza kwa kuteuliwa kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi. Kumbuka Wizara yako ndio Wizara inyohusika na kusimamia haki za msingi za maisha ya Watanzania ya kila siku. Pia ndio Wizara inayowajibika kusimamia usalama wa Wananchi na Mali zao. Hivi karibuni kumekuwa na shutuma nyingi dhidi...
  15. Mwanahabari Huru

    Dodoma: Mwanafunzi ashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kupiga na kutuma picha za ukosefu wa maji Chuo Kikuu Dodoma

    Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma Tungu Mgaya, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Dodoma tangu jana kwa kutuhuma za kupiga na kusambaza picha inayoonesha shida ya maji chuoni hapo. --+ MWANAFUNZI MUYAGA TUNGU ANAYEDHANIWA KUPIGA PICHA ZA KUONYESHA TATIZO LA MAJI UDOM MIKONONI MWA POLISI...
  16. Chagu wa Malunde

    Nalipongeza jeshi la polisi mkoa mjini magharibi Unguja.

    Natoa pongezi kwa RPC wa mkoa mjini magharibi unguja kwa kufanya kazi kwa weledi na kumfukuza kazi askari ambaye alimkamata mtuhumiwa na kumpeleka kwa wananchi wenye hasira na kisha kumuua mtuhumiwa. Imekuwa ni tabia mbaya sana wananchi wamekuwa wanachukua sheria mkononi na kuua watuhumiwa bila...
  17. beth

    Jeshi la Polisi: Tanzania ipo salama dhidi ya vitendo vya ugaidi

    Jeshi la Polisi nchini limewahakikishia raia wa kigeni wakiwemo watalii, kuwa nchi ipo salama dhidi ya vitendo vya kigaidi; na linaendelea kuimarisha ulinzi katika maeneo yote ya nchi. Kauli hiyo imetolewa na Msemaji wa Jeshi la Polisi Tanzania, David Misime. Alisema hayo wakati akizungumzia...
  18. Papaa Mobimba

    Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

    Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha...
  19. AbaMukulu

    Iringa: Polisi wadaiwa kuwaamuru watuhumiwa wa wizi kulawitiana

    Baadhi ya wafanyakazi wa kiwanda cha hong way interntional ltd kilichopo Mafinga wanalalamika kwa kulazimishwa kulawitiana. Wanasema amri hiyo ilitolewa na askari baada ya kupelekwa kituoni kama watuhumiwa kwenye kiwanda hicho. ==== Vijana 5 Waliokua Wafanyakazi Wa Kiwanda Cha Hongway...
Back
Top Bottom