huduma nzuri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Ushauri juu ya huu ugonjwa na wapi naweza kupata huduma nzuri ya matibabu

    Habari wana jamii, Ninasumbuliwa na tatizo la miguu kukaza kuanzia unyayoni mpaka kiunoni na hata mgongoni kiasi kwamba nakosa balance, siwezi kusimama au kutembea muda mrefu mpaka nitumie nguvu kubwa mno pia kukimbia siwezi nikikimbia kidogo tu miguu hukaza na kubana. Naombeni ushauri tatizo...
  2. K

    Tunaishukuru MWAUWASA kwa huduma nzuri ya maji kinyume na siku za nyuma

    Binafsi niwashukuru sana MWAUWASA kwa kurudisha huduma ya maji ambayo ni endelevu kwa sasa kwa maeneo mengi Jijini Mwanza. Hongereni sana. Mjitahidi kuwa na huduma ambayo ni endelevu kwa maeneo mengi jijini Mwanza ili wananchi tuwe na imani na Mamlaka yetu. Asanteni sana.
  3. Analogia Malenga

    Rais Samia: Magereza mrekebishe tabia za wahalifu

    Rais Samia amelitaka jeshi la magereza kuwarekebisha tabia wahalifu walioko magerezani kwa kuwa sio wote walioko magereza ni wahalifu waliokubuhu. Ambapo amesema, kushindwa kuwarekebisha tabia kunawafanya wahalifu watende makosa zaidi mara baada ya kurudi uraiani kwa kuwa wanakuwa hawana namna...
  4. Miss Zomboko

    Mambo ya Kuzingatia ili Kutoa Huduma Nzuri kwa Wateja

    1. Elewa hitaji la mteja Kamwe huwezi kumhudumia mteja vizuri bila kufahamu hitaji lake. Mara mteja anapofika katika biashara yako hakikisha unafahamu na kuelewa vyema anahitaji nini kabla ya kumhudumia. 2. Jitosheleze kihuduma Kabla ya kuamua kutoa huduma yoyote kwa mteja hakikisha...
  5. Mung Chris

    Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

    Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini. Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa...
  6. AA TANCH TRADING COMPANY

    Mtandao pekee wenye huduma nzuri zaidi za malipo kwa wafanyabiashara na wauzaji Tanzania.

    Sokokuu online ni mtandao unaouza vitu online kwa mfumo mpya na wa tofauti kabisa. Na mfumo huo upo ivo ili kumrahisishia mteja namna ya kununua vitu mtandaoni. Kwanza Sokokuu online inakupa uhuru. Wa kuweka bidhaa zako mwenyewe na kupanga bei ndani ya Dashboard yetu. Hii inakuhakikishia kuwa...
  7. L

    Siasa za Dkt. Mwigulu Nchemba zinadidimiza huduma nzuri za afya Hospitali ya Wilaya Iramba

    Nimefanya utafiti wangu kwa kuitembelea Hospitali ya Wilaya yetu tangu Machi, 2021 mpaka mara ya mwisho jana. Wagonjwa wengi waliokuwa wakiletwa wakiwa katika hali ya kuhitaji huduma ya haraka na ya dharura (emergency) wanakataliwa kupokelewa kwa kuambiwa huduma husika haiwezi kutolewa pale...
  8. Grena

    Posta Tanzania hongereni kwa huduma nzuri na nafuu

    Habari zenu wakuu, Nlikuwa na mzigo natakiwa nitume nnje, option yangu ya kwanza ilikuwa nitume na DHL lakini kunasiku kwenye mishe zangu nikapita mahali nikaona office za Posta nikashawishika kuingia na kufanya udadisi wa huduma zao. Yule dada wa posta akanambia wanahuduma ya EMS inafanya...
Back
Top Bottom