Maafisa Uhamiaji wa kike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini?

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
3,367
3,778
Maafisa Uhamiaji wakike huongoza kutoa huduma nzuri zaidi ya Wanaume kwanini.
Hili nimelionana nimeshuhudia Ma ofisini, Mipakani na Airports pia nimewasikiliza wenzangu wakizungumza pia kwamba wanawake ma Afisa uhamiaji ni wakarimu sana na wanakupokea vizuri mnazungumza kama kuna kitu hakija kaa sawa wanakuelekeza na hata mapokezi pia. Il ahawa wanaume dah hata sielewi yan akikuona tu labda anadhan ww ni dili.

Mlio shuhudia mje mtupe experience yenu pia.
 
Kuna kaukweli maana wanaume ndio wanaongoza kwa rushwa.
Though sijawahi kutana na usumbufu uhamiaji
 
Kuna ukweli ,mwezi August nilikuwa na process passport niliona hilo.Kero yangu ni kucheleweshewa passport tangu August mpka Leo kimya .

Tatizo lako pesa ya kubrashia viatu hujatoa!,tegemea kupata passport mwaka wa uchaguzi!,nachojua mimi ukitoa tulaki tumoja twa soda passport unapata ndani ya masaa 72
 
Tatizo la watanzania wengi mnatabia ya kuchukia na kukosoa kila mfanya kazi wa serikali...mtazamo wenu ni negative tuu kwa kila mtumishi wa serikali
 
Back
Top Bottom