Changamoto za Ajira Portal

Frank Hood

JF-Expert Member
Oct 15, 2021
586
1,317
Naomba nijue,naona siku hizi ukitaka kuomba kazi za serikali unapitia ajira portal(www.ajiraportal.gov.tz).
Sasa swali langu inakuwaje kwa wale ambao wako uko vijijini au hawana access ya internet wanafanya vipi kupata hzo ajira?Maana hawatoi alternative way ya kutuma maombi zaidi ya kupitia ajiraportal.

Kama kuna alternative tufahamishane

Na hii ajiraportal ukisahau password na kuomba link ya kufanya password reset haikuletei hyo link kwa hyo ni kama inakuwa imekula kwako vile coz hutoweza kujisajili tena kwa mara ya pili ina maana hutoweza kuomba tena ajira za serikali na institution zake, utapiga simu na kuomba msaada kupitia namba zilizowekwa lakin simu hazitopokelewa na zikipokelewa utazungushwa hadi utachoka.
Sasa ni nini lengo la hii ajiraportal kama chngamoto zake hazifanyiwi kazi?maana ukiacha nilizozitaja ila bado ina changamoto nyingi sana kitu kwakweli kinachokera
 
Back
Top Bottom