Search results

  1. mnoel

    msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  2. mnoel

    msaada tafadhali naomba yeyote mwenye autocard app na cracks zake, im really in need

    Msaada tafadhali; yeyote anayeweza kunisaidia app ya Autocard, na cracks zake, the current one.
  3. mnoel

    Swali la kujikumbusha...Kwa wenye majibu.

    Naomba kuuliza, hivi Dr. Ulimboka yuko wapi???? Kwa wenyeajibu tafadhali...Maana toka apone hajasikika mpaka wa leo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. mnoel

    Tafuta kazi, kuwa busy.

    Ukiona unaamka Asubuh, Simu yako iko full charge... inafika sa 6... charge imeisha. Tafuta kazi bro, ishara sio nzuri hiyo. Naongea maana ndio experience ninayopitia sasa. This is very serious, lifanyiwe kazi wakuu.
  5. mnoel

    Tusichoelewa kuhusu Homa ya Dengue

    Tunaambiwa Dengue huenezwa kupitia mbu "aedes".. carrier wa vijidudu vya dengue, Asa kwanini mbu huyo hujitokeza tu baadhi ya miaka, Katika miaka mingne ambako huwa hatuskii dengue, mbu huyo huwa ametoweka au huwa hawez kuambukiza?? Na kama ametoweka huwa anarudi vipi nchini??? Maana kukaa up to...
  6. mnoel

    Wazo chanya +

    Hizi programme za serikali kusema haifukui makuburi, kwa kuwaacha walaji wa billions of money wanakula bata tu mtaani kwanini basi makaburi yetu ya HESLB yanafukuliwa.... tena kwa nguvu kubwa na picha wanaweka? Hyo mikakati mikali wanayoipanga dhidi ya watoto wa wakulima hawa kwanini wasiitumie...
  7. mnoel

    Tangazo

    Nakodisha crane tani 5 Mawasiliano 0656318087
  8. mnoel

    Msaada: Siasa za 'mrengo wa kushoto' au 'mrengo wa kulia'

    Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
  9. mnoel

    Msaada: Siasa za 'mrengo wa kushoto' au 'mrengo wa kulia'

    Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
  10. mnoel

    Msaada

    Hii sentensi huwa naiskia sana kwenye vyombo vya habari hususani BBC "siasa za mrengo wa kushoto..au mrengo wa kulia" inamaanisha nini hasa?
  11. mnoel

    Hatuwezi kupingana na hili, endapo Muungano utavunjika

    Hatuwezi kupingana na hili, endapo Muungano utavunjika Hatuwezi kupingana na hili, endapo Muungano utavunjika
  12. mnoel

    Hatuwezi kupingana na hili, endapo Muungano utavunjika

    Kuvunjika kwa muungano ni suala zito sana na sisi kama Watanzania tusiombe litokee kwa kizazi hiki na hata kijacho. Uwe CCM, CUF na hata kama huna chama utaathirika kwa njia moja au nyingine. Naomba kugusia resource moja ambayo tunashare. BAHARI. Kwa data zisizo rasmi zaidi ya 40% ya wazanbar...
  13. mnoel

    URGENT, natafuta nyumba ya kupanga

    iwe either mbezi beach, makonde, africana, mikocheni, iwe ya vyumba vitatu na iwe ndani ya fensi,, hata zikiwa nyumba mbili ndani ya fensi moja no problem. maximum kodi laki tano ...
  14. mnoel

    Msaada: Bei ya Mkonge

    Kwa yeyote anayejua bei ya sisal/mkonge USSG per tone au per kg. Naomba kujuzwa please. Thanks
  15. mnoel

    Bagamoyo kimenuka!

    wanafunzi wa shule ya secondary Bagamoyo wamefunga shule kwa muda usiojulikana,,, chanzo kikubwa ni suala la udini", ukristo uisilam"
  16. mnoel

    kwa wale wa mathematics!,

    solve for x,, 2logx=x/25 njia muhimu wakubwa!
  17. mnoel

    wale wa aquatic and environmetal science

    members hebu nipeni future ya hiyo coz maana naenda kuisoma then cjui baada ya kusoma ndo ntafanya ki2 gni?
  18. mnoel

    kwa wale walioweka vitambulisho vyao vya kura kwenye form ya mkopo

    hebu nisaidien, nili attach kitambulsho changu cha kura kwenye ile form ya loan badala ya kitambulisho cha mdhamini!, ila kwenye list ya waliokosea simo, wht cn i do members!
Back
Top Bottom