Msaada: Bei ya Mkonge

mnoel

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
211
99
Kwa yeyote anayejua bei ya sisal/mkonge USSG per tone au per kg.

Naomba kujuzwa please.

Thanks
 
Nahusika kwa karibu sana na zao la mkonge.

Sasa sijui wewe una uza mkonge au unataka kununua?

Funguka tuwekane sawa mkuu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom