Search results

  1. M

    Jamani kosa langu lipi hapa

    Sijui kosa langu lipi hapa iko hivi, Kuna kijana hua anafanya kazi na me wangu sasa hua anatabia yakuja kila siku jion kula nyumban. Yeye kapanga nadhan mvivu kupika tumeshamzoea ni kama mwaka sasa na hatoi hata mia, Sasa mume wangu huaa anatoka saa 3 kazini, mimi hua natoka saa 2 usiku dukan...
  2. M

    Anataka kufahamu faida ninayoingiza kwenye biashara yangu. Kaninunia baada ya kumwambia tupige na mshahara

    Naombeni ushauri wenu.... Naishi na mwanaume kabla sijawahi nae nilikua nina kipharmacy kidogo ambalo lipo mpaka leo ila tofauti ni kwamba tulipoamua kuishi pamoja nilimfata mkoa mwingine ambapo sio mbali sana na duka lilipo hivyo nikalizimika kuweka mtu wa kuniuzia ambapo hua naenda kumkagua...
  3. M

    Inaniumiza sana

    Nimeolewa ninakama miez 3 hv bt Sina amani kabisa na haya maisha ya kindoa nayoishi Cjui nimejikatia tamaa tu yan sielew Mimi na huyu mme wangu kanizidi miaka 2 tu, lkn mtu akituangalia naonekana Kama Mimi mkubwa HV Maana tayar ninamtoto wa mwanamme mwingine ye hana Nachanganyikiwa sababu...
  4. M

    Mchumba hataki tufunge ndoa

    Habarin za jion wapendwa Naomben mnisaidie mawazo Ninamchumba wangu tuna mwaka na nusu tumeshamaliza taratibu zote mpaka mahari ameshatoa....mwanzo tulipanga tufunge ndoa mwezi wa 10nimekaaa nimeona kimya hata maandalizi hakuna ikabidi niulize VP utaratibu .... Ndio akaniambia kwa sasa...
  5. M

    Naomben ushauri juu hili....usipite kimya

    Polen na majukum Mimi ni mama wa mtoto mmoja Nina mchumba ambae sio baba wa mtoto wangu Baada ya kukaa kiuchumba tumeamua kuishi pamoja Iko hv Mimi na kaa kwangu na mtoto wangu na yeye anaishi kwake ....dec mwaka jana tumetambulishana kwa wazazi wa pande zote mbili.. Sasa basi kilichonifanya...
  6. M

    Roho imeniuma sana

    Ninampenz wangu tuna muda kama miez 6 hv.. Jana aliniita kwake kua anaumwa ajisikii poa nami nikaenda kwake kama kumuona kufika kumbe mtu mzima tu et nilitaka nijue kama unanipenda Sababu mda ulikua umeenda nikaamua kulala kwake Kilichoniuma tumelala asubuh kaamka kaenda kazini mi naamka...
  7. M

    Upweke umenichosha mie

    Nimekua single kwa muda mrefu nimechoka naitaji kupata mwenza anaejielewa Mi ni ke nahitaji mwanaume kwanza aishi Kanda ya ziwa nimesema hivyo sababu mimi naishi Kanda ya ziwa. Ni mrefu kiasi pia mweupe Ni msukuma Mwanaume ninaemuhitaji awe na miaka kati ya 31-42.
  8. M

    Nimeumia sana

    Roho imeniuma sana. Nimezaa na aliyekua mchumba wangu, kutokana na matatizo ya hapa na pale hatukubahatika kufunga ndoa japo tuliachana vibaya lakini nilijipa moyo tu. Nilipojifungua nilimtaarifu alinipa hongera japo hakuhudumia wala matimizi hakutoa ila alitoa jina na hatukuwasiliana tena na...
  9. M

    Natafuta baba mlezi

    Ninaujauzito wa miezi 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana. Tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba kabadilisha najua nimetenda dhambi na nawaza sana mtoto wangu inamaana hatakuwa na baba? Binafsi sina...
  10. M

    tafadhali soma hapa

    natumain mu wazima kwa wagonjwa polen nilikua na mahusiano na kaka mmoja kifupi tulipenda bt baada ya kupata ujauzito tukawa hatuelewan bila hata sababu ugomvi kila siku hata usiokua na maana hatukua tunaishi pamoja tulikua tunaishi mikoa tofauti kama wiki 3 zimepita mdogo wake...
  11. M

    Kuna madhara mjamzito wa miezi 6 kunywa pombe?

    Kuna madhara yoyote kwa mjamzito wa miez 6 kunywa pombe? Nijuzeni kwa mnaofaham maana stress zimezidi bora ninywe pombe tu.
  12. M

    Kapatwa na nini huyu mwenzangu?

    Tangu nimepata ujauzito mchumba wangu katokea kunichukia hataki hata ukaribu na mimi lakin ukimuomba hela yoyote ile anakupa mi nimeshindwa kumuelewa kapatwa na nini namfanyie nini? Nimejishusha to the maximum ndo kwaanza hata mshipa wa faham haumchezi Na tangu nimepata ujauzito nimekuwa na...
  13. M

    Tiba!!!!

    A
  14. M

    GUYS msaads

    guys naombeni mwenye namba za dina marious nimsimulie mkasa wangu wa maisha naona mambo yanakua magum
  15. M

    mwanaume kulala kwa mwanamke

    una bf wako anachumba chake na wewe unachumba chako na mnapendana sana akitaka dudu anakuja kulala kwako ikitokea kodi imeisha na umebanana hakuchangiii hata 10 unabangaiza unalipa anakuja kutaka tena dudu kwako hiii imekaaje wadada wenzangu japo mnapendana sana.
  16. M

    kwa wadada tu

    Expired
  17. M

    manii nyepesi

    habari zenu wanajf! mimi ninampenzi wangu anamanii mepesi sana kama maji, nauliza ni kawaida au anaweza akawa na matatizo? ushauri jaman
  18. M

    Nafasi 400 jeshi la polisi

    wale waliokua wanasubiria second selection, bado nafasi 400 wanachuo waliofika ni 2600 wanatakiwa 3000 na kati ya hao 2600 kuna watu **** 17 wamefukuzwa kwa mapungufu madogomadogo kama mimba, vyeti nk mnaosubiria msikate tamaa
  19. M

    kila siku mimi tu jamani

    kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
  20. M

    Asali

    jamani natafuta soko la asali wa nyuki wadogo kutoka tabora, bei ni maelewano. mimi nipo arusha kwa anaejua tujuzane jaman
Back
Top Bottom