Natafuta baba mlezi

mama pita

Member
Jul 20, 2012
97
139
Ninaujauzito wa miezi 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana.

Tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba kabadilisha najua nimetenda dhambi na nawaza sana mtoto wangu inamaana hatakuwa na baba?

Binafsi sina uwezo wa kumtunza.

Najua kuna watu humu wanatafuta watoto hawana kuliko kutoa mimba bora kwa atakae kuwa tayari kumtunza amchukue.

Wapo watakao nishangaa kwa hili lakini kuliko kutoa mimba bora nimpe baba yoyote mwenye shida na mtoto asanten jamani.
 
Huyu ndio pita au pita ni mwengine?

Subiri kwanza azaliwe dada ndio utamgawa nikweli huwezi kukosa mlezi
 
aiseeee mbona watu husema uchungu wa mwana aujuae mama una ulemavu gani wa kushindwa kumtunza mwanao mtarajiwa
 
Mleta mada ukipata nafasi kama hujawahi kuiona hii filamu nitakayoitaja hebu itafute inaitwa Losing Isaiah.

Kisha njoo na marejesho baada ya kuiangalia
 
ninaujauzito miez 8 mhusika kaukataa kwa madai kuwa anamchumba wake anampenda sana na hata muelewa akimwambia kama anamtoto kwani anajua hana. tena kaniambia nisimtafute kabisa na namba kabadilisha najua nimetenda dhambi na nawaza sana mtoto wangu inamaana hatakuwa na baba? binafsi sina uwezo wa kumtunza.
najua kuna watu hum wanatafuta watoto hawana kuliko kutoa mimba bora kwa atakae kuwa tayari kumtunza amchukue.
wapo watakao nishangaa kwa hili lakin kuliko kutoa mimba bora nimpe baba yoyote mwenye shida na mtoto asanten jaman


Tuliza moyo. Najua utapata taabu sana lakini ndio matokeo ya kugegedana kwenu. Ataoa sawa lakini nakuhakikishia atakuja mwenyewe kumtafuta mtoto. Ni suala la muda.
 
Hapa dada hujatufafanulia namna mimba mlivyo peana, nadhani mlikuwa eapenzi mpaka mkapeana mimba pili kwake unapajua tatu yeye kuoa au kuwa na mchumba sio inshu wewe omba mungu ujifungue salama kisha mpelekee taalifa kwamba umejifungua mtoto.akikufukuza nenda polic katoe taalifa na toa maelezo toka mlivyo anza kupenfana mpaka mimba.hapo utapata msaada wa kishelia kuliko kumgawa kwa baba mwingine.
Pengine baadae anaweza kumkubali akamlea.
 
Hapa dada hujatufafanulia namna mimba mlivyo peana, nadhani mlikuwa wapenzi mpaka mkapeana mimba pili kwake unapajua tatu yeye kuoa au kuwa na mchumba sio inshu wewe omba mungu ujifungue salama kisha mpelekee taalifa kwamba umejifungua mtoto.akikufukuza nenda polic katoe taalifa na toa maelezo toka mlivyo anza kupendana mpaka mimba.hapo utapata msaada wa kishelia kuliko kumgawa kwa baba mwingine.
Pengine baadae anaweza kumkubali akamlea.
 
Hapa dada hujatufafanulia namna mimba mlivyo peana, nadhani mlikuwa eapenzi mpaka mkapeana mimba pili kwake unapajua tatu yeye kuoa au kuwa na mchumba sio inshu wewe omba mungu ujifungue salama kisha mpelekee taalifa kwamba umejifungua mtoto.akikufukuza nenda polic katoe taalifa na toa maelezo toka mlivyo anza kupenfana mpaka mimba.hapo utapata msaada wa kishelia kuliko kumgawa kwa baba mwingine.
Pengine baadae anaweza kumkubali akamlea.


asante kwa ushauri wako
 
mhn! wewe ulizaliwaje?,wazazi wako walizaliwaje? au vizazi vyako vinne nyuma vikoje? inawezekana wewe sio wa kwanza kwa mwanaume kukataa mimba. tazama historia ya familia yako na ikwezekana familia ya aliyekupa mimba kwa vizazi vinne kama utaweza.
ukipata kama lilishatokea ufuatilie kwanini lilitokea? kulikuwa na makubaliano gani lilipotokea kwa mara ya kwanza na aliyeumzwa alilipokeaje je alisema nini kwa maumivu hayo?
ukishajua watafute watu wakufanyie ushauri kwanza inawezekana kabisa unatatizo kubwa kuzidi hilo na inawezekana jamaa huwenda hana mtu anayemtegemea zaidi yako lakini katiwa giza
mtafute MUNGU awe na tatizo lako.
achana na sisi kumbuka kila jaribu linabeba makusudi ya MUNGU
 
Umenifanya nikumbuke nilichosoma kuhusu Ronaldo huyu mcheza mpira...

Mama yake alikuwa hataki kumzaa...sasa sijuhi kutoa mimba ilikuwa haiwezekani ...anasema alikuwa anakimbia mbio za marathon ili mimba itoke lakini wapi...leo mtoto ndio hivyo tena super star...

Achana na mawazo ya kumgawa mwanao...utaja jutia maamuzi yako...
 
Subiri ujifungue kwanza alafu njoo na uzi mwingine...wenye mimba wengi akili zinakuwa nusu...
Unadhani kugawa mtoto ni rahisi...tuulize sie raha ya kuwa na wana...hapa niko tayari niuze maandazi lakini mwanangu simgawi hata kama anayemtaka ni Obama...
 
Back
Top Bottom