kila siku mimi tu jamani

mama pita

Member
Jul 20, 2012
97
139
kila siku mimii tu kila naekua nae kimapenzi lazima anicheet ninamkosi gani jaman au ninamatattizo gani mimi mbona wengine wanafurahia maisha yao ya mapenzi. WHY ME!!!!!???????
 
pole mama pita.

Sasa wee mwenyewe unajiita mama pita, maana yake wapite tu.

Majina haya jamani.
 
Siku zote nasema katika Mapenzi expect the unexpected. Ukiimani kuwa ulienaye anacheat siku ukimkuta/fuma au kugundua ni kweli anacheat ni afadhali kuliko kumuamini kuwa hacheat..
 
Yaani mimi sitaki stress yaani hata umpe nini si gurantee hatacheat kwa hyo usijepe shida na kujiuliza wengi ndo walivyo,wewe ukiona umechoka take ur time my dear,unaweza kesha ukijiuliza,
 
Yaani mimi sitaki stress yaani hata umpe nini si gurantee hatacheat kwa hyo usijepe shida na kujiuliza wengi ndo walivyo,wewe ukiona umechoka take ur time my dear,unaweza kesha ukijiuliza,
jamani unaakuta unampa kila anachota heshima, mapenzi yoote malipo yake kuumizwa tu jamanni kweli dunia haina usawa
 
pole sana lakin pia hebu angalia aina ya watu unaotoka nao. manake yawezekana unatoka na watu ambao wewe siyo class yao ama unaghubu sana ndo mana wanaafuta liwzo nje. hebu jaribu kuongea na uliye naye mwambie akwambaie weak points zako ambazo hazipendi. kubali kuambiwa ukweli.

on the other hand ni tabia za watu a kileo so huwez kuwa na wako peke yako. ishu tu ni kwamba lazima awe anakutunzia heshima yako basi. asikuletee wala kukuonyeshea wazi. kwa maelezo zaid ngoja nikuitie huyu mwenyekiti wa infidelity club Asprin akueleze ukweli.
 
Last edited by a moderator:
Mtafute kibabu kimoja kinaitwa Mzee Mwanakijiji, umuulize utapataje kitabu chake cha majeruhi wa penzi. You will learn something.
Pole mwayego.
 
jamani unaakuta unampa
kila anachota heshima, mapenzi yoote malipo yake kuumizwa tu jamanni
kweli dunia haina usawa

gume gume tu hilo achana nalo,utampata tu mwenye shukrani,ila usiwe unajitoa kihivyo,bakisha kisehem
 
Mtafute kibabu kimoja kinaitwa Mzee Mwanakijiji, umuulize utapataje kitabu chake cha majeruhi wa penzi. You will learn something.
Pole mwayego.

Dada King'asti kumbe ww ndo marketing manager? u should hv told me before tupake rangi chumba cha mzee home!
 
Last edited by a moderator:
dada umesema kile kitabu ni kizuri nilikisoma kikanipa funzo sikuai i kufikiri maishani .
Mtafute kibabu kimoja kinaitwa Mzee Mwanakijiji, umuulize utapataje kitabu chake cha majeruhi wa penzi. You will learn something.
Pole mwayego.
 
huko ni kufikirika tu kuwa unampa kila kitu! umewai muuliza na kujua vyote anavyovihitaji?
usibweteke, You did not play your duty well!

jamani unaakuta unampa kila anachota heshima, mapenzi yoote malipo yake kuumizwa tu jamanni kweli dunia haina usawa
 
jamani unaakuta unampa kila anachota heshima, mapenzi yoote malipo yake kuumizwa tu jamanni kweli dunia haina usawa

wakati mwingine wanakucheat kwasababu unawapa kila kitu,wanaenda kwa wanaowanyima baadhi ya vitu!jaribu kubadili aina ya mahusiano uliyonayo na hao wanaume my dear!si nyakati zote kujitoa kiasi hicho unachofikiri unajitoa kinasaidia kulimudu penzi!mi huwa naamini mapenzi hujengwa na vitu vidogo sana na hubomolewa na vitu vidogo vile vile!so badili karata mama!pima maji kwanza kabla hujatia unga kusonga ugali!
 
mama pita usione wako kimya ukadhani wana enjoy, nao wana matatizo tu.... haiwezekani muishi wawili msitibuane, ndo maisha hayo mama, vumilia tu
 
Last edited by a moderator:
pole sana lakin pia hebu angalia aina ya watu unaotoka nao. manake yawezekana unatoka na watu ambao wewe siyo class yao ama unaghubu sana ndo mana wanaafuta liwzo nje. hebu jaribu kuongea na uliye naye mwambie akwambaie weak points zako ambazo hazipendi. kubali kuambiwa ukweli.

on the other hand ni tabia za watu a kileo so huwez kuwa na wako peke yako. ishu tu ni kwamba lazima awe anakutunzia heshima yako basi. asikuletee wala kukuonyeshea wazi. kwa maelezo zaid ngoja nikuitie huyu mwenyekiti wa infidelity club Asprin akueleze ukweli.

Mama leo umefunguka mhhh!naona kidogo umepunguza ukali leo!
Aminia sana wewe!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom