Search results

  1. O

    why it is hard for me to forget the man i loved most?

    habari zenu wanajf... niko kwenye wakati mgumu sana sasa, najaribu kila hali niweze kumsahau mwanaume ninayempenda ambaye naweza kusema uwezo wa kuwa naye tena haupo kutokana na migogoro inayoendelea kwa mda mrefu sasa kati yetu tangu last year in July. wadada na wakaka hebu fungukeni huwa...
  2. O

    Natafuta rafiki wa kubadilishana nae mawazo kuhusu mahusiano

    Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 26, natafuta rafiki awe wa kike au wa kiume wa kubadilishana naye mawazo kuhusu mahusiano, Kifupi nimewahi kuwa na boyfriend mmoja tu lakini kwa sasa hatuelewani so i need company ya mtu yeyote aliye tayari kunifundisha mambo haya ya mahusiano hasa jinsi ya...
  3. O

    jamani lakini pamoja na hayo yote lakini serikali yetu ni sikivu kwa asilimia 100

    Tunawapongeza viongozi wetu wote kuanzia Gorofani hadi sakafuni. Kwa kweli maisha ya watanzania yanazidi kushamili kila baada ya sekundeeeee!, tunampongeza mjomba wetu. wembe ni ule ule, kama mwaka jana. jamanitusipunguze spidi! maisha bora kwa kila man! imetekelezwa kwa kweli. tchaoooooooo!
  4. O

    Naomba mnijuze hili, Uvimbe kwenye Cervix unatokana na nini?

    Uvimbe kwenye Cervix unasababishwa na nini? Na nini matibabu yake? Madhara yake ni nini? Nini kifanyike ili uvimbe utoke? Kwa aliyewahi kukutwa na ugonjwa huu au kusikia unasababishwa na nini na matibabu yake ni yapi naomaba anijuze. Asante, nawasilisha
  5. O

    Vitabu tu au kuna vingine? ushauri plzzz

    Habari wanajf Mimi niko na tatizo , mpenzi wangu tuliyeachana hivi karibuni ameenda kudai vitabu hom, sijui ana maana gani na malengo gani kwangu coz si heshima mtu kwenda kichwakichwa kwa wazazi wa x-gal wako kujieleza ili iweje? hapa nilipo nimechanganyikiwa coz mazingira ninayoishi it is not...
  6. O

    Nimeamua nimsahau

    Habari wanaJF, Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa...
  7. O

    Ushauri Tafadhari!

    Habari wana jf, Mimi nina umri wa miaka 25, tatizo langu ni kuwa nilikuwa na uhusiano na Kijana mmoja hivi na yeye ni member humu jf, tulikutana tukiwa chuo na tumedumu katika uhusiano huo kwa takribani mwaka mmoja na miezi kumi hivi, nakumbuka alianza kunifuatilia tangu nikiwa first year na...
  8. O

    Wanaume acheni hii tabia

    Helo wana jf, mm n mgeni humu ila nataka kufikisha tu kinachonikera kwa wanaume, Unakuta Mwanaume huna nia a dhati kwa mdada fulani ila unamfuata na kudai kuwa unampenda na pia unahitaj awe mkewe siku za mbeleni na huku ukijua wazi unayoongea ni uongo ila tu unataka kumchezea tu mdada wa watu na...
Back
Top Bottom