Nimeamua nimsahau

oonatha

Member
Jul 17, 2012
24
9
Habari wanaJF,

Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa Mungu kwa hiyo niameamua rasmi nimsahau. Nashukuru Mungu coz hakufanikiwa kupata K, isipokuwa mambo madogo madogo tu ya kawaida. I hop kuwa Mungu atanijalia Mpenzi Mwingine ambaye atanipenda nami nitampenda na if possibo Mungu akipenda ndiye atakuwa mume wangu. Kwa vile naye yuko humu jf namtakia kila la kheri katika mambo yake.

Asanteni kwa ushauri wenu umenisaidia sana na MUNGU AWABARIKI NYOTE
 
Kwa hi wa pili lazima utampa K kabla ya ndoa sio :bounce:
 
Habari wanajf,
Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa Mungu kwa hiyo niameamua rasmi nimsahau. Nashukuru Mungu coz hakufanikiwa kupata K, isipokuwa mambo madogo madogo tu ya kawaida. I hop kuwa Mungu atanijalia Mpenzi Mwingine ambaye atanipenda nami nitampenda na if possibo Mungu akipenda ndiye atakuwa mume wangu. Kwa vile naye yuko humu jf namtakia kila la kheri katika mambo yake. Asanteni kwa ushauri wenu umenisaidia sana na MUNGU AWABARIKI NYOTE!!!!!!!!!!

Hongera kwa hako ka Red kwa wengine huwa ni kagumu sana kutekeleza!!11
 
Aaamen! Jichanganye utapata mtu muafaka...haya mambo hayalazimishwi
 
Habari wanajf,
Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa Mungu kwa hiyo niameamua rasmi nimsahau. Nashukuru Mungu coz hakufanikiwa kupata K, isipokuwa mambo madogo madogo tu ya kawaida. I hop kuwa Mungu atanijalia Mpenzi Mwingine ambaye atanipenda nami nitampenda na if possibo Mungu akipenda ndiye atakuwa mume wangu. Kwa vile naye yuko humu jf namtakia kila la kheri katika mambo yake. Asanteni kwa ushauri wenu umenisaidia sana na MUNGU AWABARIKI NYOTE!!!!!!!!!!

:biggrin1: mara ya kwanza nilifikiri ni asprin ila ulivyosema hakupata K yako basi nikajua hatakua yeye coz jamaa asingeiachia hiyo kitu impite... tutajie ni nani huyo kakufanyia hivyo we name and shame him hapa hapa
 
kumsahau itategemea aliku hurt kias gani,,,na utakaempata anaweza akawa bom zaidi akakufanya umkumbuke ex wako...Muhim sugua goti kwa Muumba wetu
 
hongera kwa kuweza kumsahau, its hard to some people to forget the ones who hurt them so bad!!!, omba mungu akupatie mume mwema.
 
hongera sana,wewe jipende zaidi na zaidi uzidi kuwa mrembo na usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya!mweke mungu mbele.
 
Habari wanajf,
Nilishawahi kutuma post siku za nyuma nikeleza jinsi gani mpenzi wangu aliamua kuniacha baada ya kumtumia sms na kumuuliza maswali kadhaa ambayo ndiyo yaliyosababisha tugombane na kuvunja uhusiano wetu. Nashukuru kwa ushauri mlionipa umenisaidia sana naamini haukuwa Mpango wa Mungu kwa hiyo niameamua rasmi nimsahau. Nashukuru Mungu coz hakufanikiwa kupata K, isipokuwa mambo madogo madogo tu ya kawaida. I hop kuwa Mungu atanijalia Mpenzi Mwingine ambaye atanipenda nami nitampenda na if possibo Mungu akipenda ndiye atakuwa mume wangu. Kwa vile naye yuko humu jf namtakia kila la kheri katika mambo yake. Asanteni kwa ushauri wenu umenisaidia sana na MUNGU AWABARIKI NYOTE!!!!!!!!!!

Ndiyo, waswahili wanasema kisicho riziki hakiliki, namaanisha inawezekana huyo hakuwa wako na wewe haukuwa wake.
Nakutakia kila lililo la kheri liwe nawe daima unapoaanza ukurasa huu mpya wa maisha yako.
Best of luck!
 
hongera kwa hilo,ila SIDHANI KAMA KULIKUA NA ULAZIMA WAKUTUAMBIA HAKUONJA K YAKO,hapo nimekudiscredit.samahani kama nimekukwaza.
 
Asante lakini nimewaambia hivyo coz kny ile thread wengi walihoji kama alionja K yangu.
 
Hongera dr,bora K hukumpa mana hakuna jipya jamaa akishapita hata kama unampenda vipi ataondoka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom