Search results

  1. afrique

    Note 20 ultra screen black out

    Nimenunua hii simu mwaka jana mwezi wa tisa Mwaka huu mwezi wa pili simu imezima tu screen ghafla, haijadondoka,haijakwaruzika hata screen Imetumwa samsung Dar wanasema ni FAULT which means sina mchango kwenye kuharibika kwa hiyo screen Kikombe kiko kwa wakala wao niliponunua Arusha (mhindi...
  2. afrique

    Sale sale sale nguo za kike za mtumba nusu bei

    Duka linapatikana njiro 88 pick n pay Baada ya crdb Room no 8 Nguo nzuri za kike ziko kwenye punguzo Suruali za vitambaa 10000 ukipata kuanzia 5 @8000 Magauni 10000 Skirt 10000 Jeans 8000 Instagram:Divineclothingstore_arusha 0762 998333
  3. afrique

    Mtumba grade 1 bei ya sale

    Napatikana njiro 88 pick n pay Room no 8 Arusha Nauza nguo za mtumba za Watu wazima Suruali za ofisi 10000 Ukipata kuanzia 5 bei8000 Magauni 10000 Skirt 10000 0762 998333
  4. afrique

    Naomba ushauri katika kuagiza gari. Je, nitumie mitandao mikubwa au niende kwa dealers

    Habari zenu, Nataka kuagiza gari naona hata hao makampuni ya kuagiza wanacwanachukua picha za beforwad na Japanese autocom. Sasa si heri ninunue tu huko beforwad au autocom! Ushauri wenu experts na experience zenu zitanisaidia
  5. afrique

    Utafanyaje pale ambapo mpenzi wako kaja na lovebite shingoni?

    Kwa kweli ni ngumu mno sijui haya mapenzi kwa nn yalikuepo Loh!!!! Wanaume mtuhurumie jamani Yaani babe hakuwepo kwa week sasa karudi jana na love bite shingoni Duh!!!nikashindwa hata kuuliza nimebaki tu nahema kama nimepanda mlima Hivi ikikukuta wewe utafanyaje!!
  6. afrique

    msaada nashindwa kupromote account yangu ya instagram

    Nimeattach maelezo nnayopewa naombeni mnisaidie wataalam
  7. afrique

    Karibuni kwa nguo za mtumba grade one

    Nauza nguo za mtumba grade one Za kiofisi na casual Karibuni sana Duka liko Arusha, philips highway bar Mikoani tunatuma 0762998333 Instagram :divine_clothing_store _ Nguo za kike zote Za kiume ni mashati na tshirts
  8. afrique

    Nauza Sony Xperia Z1

    Iko nzima haina tatizo, kwa atayehitaji anicheck 0762998333
  9. afrique

    nauza Sony Xperia z 1

    Habari Wana jamvi, nauza Sony Xperia z 1,iko katika hali nzuri kabisa Nina emergency nahitaji pesa ya haraka so nimeamua kuuza nibaki na kitochi kwa muda Ku attach picha kumenishinda 0762998333 Anakayehitaji ntamtumia picha what's app
  10. afrique

    Sale sale sale ya nguo za mtumba grade one

    Tuna punguzo la bei kwa nguo za maofisini na za party za kike, duka liko philips arusha 0762998333 Instagram divine_clothing _store _
  11. afrique

    nguo za mtumba grade one

    Nauza nguo za mtumba za wadada grade one kwa bei nafuu niko philips arusha, 0762998333 Instagram divine_clothing _store _
  12. afrique

    Ushauri wenu tafadhali, niko njia panda

    Habari wana Jamii Forum, Mi ni binti niko kwenye mahusiano na kijana mmoja ambaye anafanya kazi mwaka wa nne huu kwenye ofisi fulani, Elimu yake ni degree, kinachoniweka njia panda ni kwamba kwa miaka yote hiyo anaishi nyumbani kwao na yuko kwenye late 20's. Mimi nilipomaliza chuo sikupata kazi...
  13. afrique

    TANESCO Arusha mnapingana na utaratibu mliowekewa?

    Yaani moyo umajaa machunngu sielewi kabisa kwa nini haki yangu ya kufungiwa umeme kwa wakati siipati. Nimelipia tangu mwezi wa sita mwaka huu 2014 haiitajiki hata nguzo lakini hadi leo nilo gizani. Hivi inamaana mamlaka husika zinavyosema kuwa kama huitaji nguzo ni siku 4 tu umeme ufungwe...
  14. afrique

    Wana JF Arusha kikundi kipya cha VIKOBA kimeanza

    kwa walio na interest ya kuingia mnakaribishwa tunaanza leo tarehe 25 mwezi wa nne 2014,kuna thread iliwahi kuwepo kuhusu vikoba na watu walikuwa interested so nimelifanyia kazi na kikundi kinaanza tayari tumepata documents zote zinazohitajika 0767319121 tuwasiliane kwa wale wanaohitaji kujiunga
  15. afrique

    Vikoba kikundi kipya Arusha kinaanza wiki hii

    kuna thread iliahi kuwepo huku kuhusu vikoba,i nimeifdanyia kazi na nimeanzisha kikundi cha vikoba arusha ambacho kinaanza leo tarehe 25 mwezi wa 4 2014,kwa wale walioko arusha wenye interest tuwasiliane kwa namba 0767319121 sitakuwa online kwa hivyo tuwasiliane kwa simu
  16. afrique

    laptop sleeves kiafrika zaidi

    nadesign mabag ya laptop na mikoba kwa kutumia vitenge,anayehitaji anipm
  17. afrique

    nauza mikoba na mabag ya laptop

    mabag ya laptop picha nimeatach,for more call me 0767319121
  18. afrique

    nauza mabag ya laptop na mikoba ya wadada iliyoshonwa kwa vitenge

    Jumla na rejareja kwa bei nafuu Anayetaka anipm nimtumie picha coz mtandao unasumbua nashindwa kuatach
  19. afrique

    mikoba na mabag ya laptop yaliyoshonwa kwa vitenge

    Hellow, Mimi ni mjasiriamali ninayebuni vitu mbalimbali kwa kutumia vitenge.Nakaribisha wanunuzi wa jumla na reja reja, anayehitaji anipm nimtumie picha
  20. afrique

    hapa yalikuwepo mapenzi kweli!!!!!!!!

    Heri ya mwaka mpya wanajamvi!!!!! Mwenzenu nilikuwa kwenye mahusiano na mwanaume mmoja hivi, nilichoexperience ndio utata mtupu!!!!!!! From the second date hata sijasema ndio, anawaza tu when are we going to sex!!!! Nikaona duh!!! Sijui itakuwaje coz mi Nataka nimsome kwanza nimuelewe...
Back
Top Bottom