afrique
JF-Expert Member
- Jun 28, 2012
- 509
- 135
Yaani moyo umajaa machunngu sielewi kabisa kwa nini haki yangu ya kufungiwa umeme kwa wakati siipati.
Nimelipia tangu mwezi wa sita mwaka huu 2014 haiitajiki hata nguzo lakini hadi leo nilo gizani.
Hivi inamaana mamlaka husika zinavyosema kuwa kama huitaji nguzo ni siku 4 tu umeme ufungwe zinasema uongo?au ndio mnataka rushwa?
Kama mimi tu nipo mjini natendewa haya walioko vijijini si watafungiwa baada ya mwaka mzima?Naona mnapingana na kauli za viongozi akiwemo Waziri wa nishati.
Natamani hili swala nilifikishe mbele ili Waziri ajue namna mnavyopuuza utaratibu mliowekewa .