Search results

  1. M

    Maafisa wetu wa misitu jipangeni upya

    Ni jambo jema sana kwa wataalamu wetu wanapokuwa wanaweka msisitizo juu ya kupanda miti ili kupunguza kasi ya uharibifu wa Misitu unaofanyika hapa nchini hasa kwenye Misitu yetu ya asili.Lakini msisistizo huu unakosa nguvu pale wataalamu wetu hawa wanaposisitza tupande miti ya aina mbalimbali...
  2. M

    Wabunge wetu na hatima ya maendeleo ya wananchi

    Napata shida sana kutafakari jambo hili:Awali nilifikiri ubunge ni uwakilishi wa wananchi Bungeni, lakini sasa mbona waheshimiwa hawa wengi wao hawaonekani majimboni mwao saa ngapi wanapata hizi changamoto za majimboni mwao ili wakawasemee walalahoi hawa mjengoni? Halafu nikaona ubunge kama...
  3. M

    Kila mh.apewe hii dozi

    Nafikiri kuna haja kulitizama upya suala la siasa hasa kwa watunga sera na watoa maamuzi wetu.Kuna kila sababu ya kuweka kigezo cha mafunzo ya elimu ya 'POLITICAL SCIENCE' angalau kwa mwezi mmoja kuwa compulsory kwa mbunge yeyote kila baada ya uchaguzi.Labda hii inaweza ikaleta tija kwa...
  4. M

    Waheshimiwa Wabunge akiwemo Mbunge Jimbo la Mwibara epukeni Siasa zilizopitwa na Wakati

    Ni jambo la kusikitisha katika karne hii ya 21 kuona kijiji bado hakina shule ya msingi,wanafunzi bado wanasafiri kilomita 8 kwenda shule za msingi za vijiji vya jirani(NAMALAMA,MWITENDE).hebu fikiria siku waalimu(shule za jirani) wakiwakatalia kuwapa admission, wataenda wakapate wapi elimu hawa...
  5. M

    Mikopo elimu ya juu kwa watoto wa walalahoi,haijakaa sawa

    Serikali imejitahidi kujenga shule za sekondari hapa nchini karibu kila kata.Lakini kuna changamoto nyingi zimejitokeza ikiwemo upungufu wa waalimu na vitendea kazi(vitabu, maabara n.k).Hali ambayo imechangia wanafunzi wengi (watoto wa wakulima)wachukue michepuo ya sanaa.Hata wale wachache...
  6. M

    Wajasiriamali changamkieni tenda

    Nimetembelea Mikoa hasa Wilaya zinazozalisha mpunga kwa wingi hapa nchini nikagundua kuna haja kubwa ya kutumia na kuziendeleza fursa ambazo hazijatumika ipafasavyo katika baadhi ya Wilaya hizi ikiwemo KILOMBERO .Mfano ,hatujaweza kugundua namna ya kubadali pumba za mpunga na kuziweka katika...
  7. M

    Haya ni mazoea au ufahamu mdogo?

    Katika karne ya 21 ni kitu cha kushangaza sana kusikia kwamba kuna baadhi ya watanzania bado wanazingatia mila ambazo kwa kiasi kikubwa zina athari katika mazingira tunamoishi pamoja na jamii kwa ujumla.Mfano ni pale mtu anapochoma moto MISITU ovyo kwa imani kwamba anapima urefu wa maisha...
Back
Top Bottom