Search results

  1. kimweri Jr

    Kiwanja kinauzwa Kibaha (Kwa Mathias), Bei 20M

    Ni kiwanja cha ukubwa wa 25 x 20, kina nyumba (sio ya kisasa) ya tofali za block na choo cha nje. Haina uzio. Ipo mtaa wa kwamathias, mita 400 kutoka kwa mzee mathias barabara ya zamani. Hakuna dalali, haina hati, taratibu zote zitafuatwa kabla ya malipo! Mwasiliano 0752 252 658
  2. kimweri Jr

    Msaada samsung galaxy pocket

    Wakuu naombeni mnisaidie hii simu nikandika msg ikazidi na kuwa mbili inaibadilisha na kuwa MMS na ukiituma haiendi tena. Sasa naombeni mnisaidie ndio kawaida ya hizi cm au kuna setup naweza kubadilisha. Natanguliza shukrani.
  3. kimweri Jr

    Movie za love story

    Nimeshawahi kuanhalia movie moja inaitwa the notebook kiukweli mimevutiwa sana na aina hii ya movie, wadau nisaidieni majina ya nyingine kama kumi nizitafute. Natanguliza shukrani.
  4. kimweri Jr

    Nafasi ya kahawa katika tendo la ndoa.

    Wadau naomba kufahamishwa kama ni kweli kahawa ina mchango wowote kwa mwanaume katika tendo la ndoa. Wasalam......
  5. kimweri Jr

    Phd ya Obama kutoka open university.

    Wanajamvi kwa wale wenye taarifa za kutosha naomba kufahamishwa ile phd ya heshima aliyopangiwa kupewa Rais obama alipewa? na kama hakupewa ni kwann? Kwa mwenye taarifa wadau tafadhali.
  6. kimweri Jr

    Nyumba inauzwa million 8.

    Nyumba ipo kibaha kwa matiasi mtaa wa pili kutoka stand, imesajiliwa kwa namba MKM 2019, ina vyumba vya kulala vinne (4) na sebule. Umeme na maji bado na pia inahitaji finishing, kwasasa inaishi watu. Hahitajiki dalali. Mawasiliano 0658 252658.
  7. kimweri Jr

    Umiseta taifa 2013.

    Wadau tangu wiki mbili zimepita nimeshuhudia vipaji vizuri sana kutoka kwa wanafunzi wa secondary zetu Tanzania, kiukweli kama vijana hawa wataendelezwa watafila mbali sana kimichezo. Binafsi niwapongeze kanda ya mashariki(pwani na moro) kwa kuwa bingwa wa soka 2013 kwa kuifunga zanzibar bao 1...
  8. kimweri Jr

    Mtoto wa Obama.

    Ni muda sasa nimekuwa nikimuona Rais wa marekani akiwa na mwanae wa kike aitwae Sasha, kiukweli si kwamba mtoto yule ni mzuri tu bali anastahili kabisa kuwa mke wangu. Kinachonisumbua ni wapi ntapata mawasiliano yake ili nilifikishe kusudio langu. wanajamvi najua mnaweza kunisaidia please...
  9. kimweri Jr

    Mwanamke wa Kichaga.

    Jamani wanajamvi naweza kuwa mgeni wa jambo hili: ni zipi sifa halisi za wakidada wa kichaga na ukitaka kuoa ni taratibu gani za kufuata mpaka kutoa mahali? Msaada jamani wanajamvi.
  10. kimweri Jr

    Dhana ya mapenzi na mitandao ya kijamii.

    Wimbi la vijana wengi wakike na wakiume kujitokeza kutafuta wenza kwny mitandao ya kijamii linazidi kuongezeka kwa kac sana. Me naomba kujuzwa sababu hasa ni nn? Ni kukata tamaa, matumizi ya technologia, au wapenzi bora wapo huko au ni aina flani ya maisha watu wameamua kuishi. Kiukweli wanaJF...
  11. kimweri Jr

    Huyu uliye nae sasa ni wangapi tangu umeanza?

    Wapenzi wanaJF, BINADAM tunapitia nyakati tofauti sana za mahusiano na kwasababu tunatumia sana hisia kwenye mahusisano yetu tumekuwa tunashindwa kudumu nayo kwa muda mrefu. Mpaka sasa ulipofikia ni wangapi umekuwa nao na wangapi mmeachana na unakumbuka ni kwa nini mliachana? FUNGENI JAMANI NA...
Back
Top Bottom