Msaada samsung galaxy pocket

kimweri Jr

Senior Member
Jun 9, 2012
131
41
Wakuu naombeni mnisaidie hii simu nikandika msg ikazidi na kuwa mbili inaibadilisha na kuwa MMS na ukiituma haiendi tena. Sasa naombeni mnisaidie ndio kawaida ya hizi cm au kuna setup naweza kubadilisha.
Natanguliza shukrani.
 
Nami pia nna tatizo kama hilo(Galaxy S Duos GT-S7562), text msg mwisho 3. Zikizid inakuwa MMS, nifanyeje?
Msaada #Chief-Mkwawa
 
nendeni store mkadownload gosmspro au handcent hizi ni 3rd part app za sms mtaandika hata makala sio sms tu
 
Back
Top Bottom