Huyu uliye nae sasa ni wangapi tangu umeanza?

kimweri Jr

Senior Member
Jun 9, 2012
131
41
Wapenzi wanaJF,
BINADAM tunapitia nyakati tofauti sana za mahusiano na kwasababu tunatumia sana hisia kwenye mahusisano yetu tumekuwa tunashindwa kudumu nayo kwa muda mrefu. Mpaka sasa ulipofikia ni wangapi umekuwa nao na wangapi mmeachana na unakumbuka ni kwa nini mliachana? FUNGENI JAMANI NA USHAURI PIA TUPEANE.
 
kuna jamaa yangu yeye alisema wanajaa dar express mbili..back to me,je wale wa kudumu au one night stand? nasubiri majibu kwanza...:ranger:
 
mie,,,nikiacha unafiki,,,,sikumbuki,,ila naweza kujaa kaunta mbili na ushee,,,huwa navuta kumbukumbu kuanzia kijijini,,,,miji,,majiji shulen ,,,vyuon,,,,kazin,,,,,one night,,,goal,,wenye mbio za mwenge,,umiseta,,,umishumta,,,,,misiba xmass saka,,mwaka mpya,,,,ubarikio,komunio,,,idd kubwa ndogo ,,madrasa,,,maulid graduation,,,kote ni ku do tu,,,orodha ni ndefu,,,
 
Hee, unakumbuka hata ,majina yao kweli!
 
Mi hata sikumbuki. Ila nnachokumbuka ni kwamba nime-do nao mademu kibao. Ila kinachofanya nisitimize watano ni sabuni. Sabuni noma wazee... inapunguza idadi ya ...
 
Mhhh mbona hapa ni habari nyingine aise
Kukumbuka ni noma maana wako wale wa one night stand wale mnaokutana msibani, au kwenye safari, chuoni, shuleni, sherehe za harusi na ubarikio na communio na kipaimara,
Mhhh orodha ni ndefu
 
mie,,,nikiacha unafiki,,,,sikumbuki,,ila naweza kujaa kaunta mbili na ushee,,,huwa navuta kumbukumbu kuanzia kijijini,,,,miji,,majiji shulen ,,,vyuon,,,,kazin,,,,,one night,,,goal,,wenye mbio za mwenge,,umiseta,,,umishumta,,,,,misiba xmass saka,,mwaka mpya,,,,ubarikio,komunio,,,idd kubwa ndogo ,,madrasa,,,maulid graduation,,,kote ni ku do tu,,,orodha ni ndefu,,,
Dah! Wew ni noma mkuu! Ngoja na mimi nikumbuke vile...
 
mie,,,nikiacha unafiki,,,,sikumbuki,,ila naweza kujaa kaunta mbili na ushee,,,huwa navuta kumbukumbu kuanzia kijijini,,,,miji,,majiji shulen ,,,vyuon,,,,kazin,,,,,one night,,,goal,,wenye mbio za mwenge,,umiseta,,,umishumta,,,,,misiba xmass saka,,mwaka mpya,,,,ubarikio,komunio,,,idd kubwa ndogo ,,madrasa,,,maulid graduation,,,kote ni ku do tu,,,orodha ni ndefu,,,

Hizo ni kaunta gani mkuu
 
Mim kuna mwaka nilikuwa mbeya nikaandika kwenye ki-note ikafika..67!!hapo ni mwaka 1992.........mpaka leo!!unganisha DOT utajua idadi yangu!!
 
kuna halima,mwanajuma,jenifa,doreen,wastara,aby,fetty,priss,tabu,lina,blandina,ashura,biafra,jisha-huyu muhindi,mirreile-huyu franch speaking gel,colle,sabina...opps...and much more!!!!!~!~!!!!!
 
Back
Top Bottom