Search results

  1. K

    Tafsiri halisi ya neno Mswahili

    Mtu duni/maskini anayeishi makazi duni "uswahilini"
  2. K

    Zamani nilivyokuwa Mjinga!

    Neno kufunga shule lilinitatza saana!! Nakumbuka npo STD one 2po xul baraza mkuu akatangaza "shule itafungwa leo na afunguliwa 11/january". Baada y kuruhusiwa Nilibana sehemu kuona kufuli ya xul na nan itafunga
  3. K

    Ujinga Ni.........

    Ujinga ni kutuma sms clouds fm eti unampongeza Obama kushinda uchaguz, ujinga n kumuuliza konda wa daladala mbona hatuondok wakati dreva yupo, ujinga ni kumwombea marehemu ambavyo enzi za uhai wake ulikuwa umwombei, ujinga n kuamin kuwa vyuo vikuu hakuna mambo y kijinga
  4. K

    nimechanganyikiwa ..naombeni ushauri wa ukweli wana JF

    Japo cjaoa lakini kilio chako kmenigusa!! Hebu tulia umwombe mungu utapata mme bora. Kuoa/kuolewa n utaratibu wa jamii ze2 ndiyo maana tunaulizwa mbona huoi/huolewi lakini ucjione mpweke kukosa mwenza piga magoti umwombe Mungu atakupa mme bora
  5. K

    Kiswahili darasani kingereza kwenye mtihani

    jamaa linaongea kiutaniutani lakini ndivyo ukweli ulivyo, babu zetu walikuwa na akili n noumar halafu si tunasema siku hizi kuna makauzu wao walikuwa makauzu zaidi ukileta zako ulikuwa unasondekwa porini kama miez 9 ukitoka adabu mbele
  6. K

    Ndoa ya CCM na CUF msalaba kwa wazanzibar

    jamaa linafaidi ila ndivyo linavyozidi kukipoteza chama, CUF inatekeleza llani ya uchaguzi ya CCM
  7. K

    Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    Wengine nimewaelewa ila wanaosema kuwa shem atatuambukiza VVU me na broo wangu mnamaanisha me na shem tupime afya zetu kwanza kabla ya kunanilii naye? Nimeanza kuogopa nitafunga kwa maombi tamaa hii initoke kumbe ni roho ya ibilisi tu
  8. K

    Ndoa ya CCM na CUF msalaba kwa wazanzibar

    Waswahili husema ndoa bila kitchen party si ndoa ni matanga. Ukitaka kujua ukweli waulize wazenji uovu unaofanywa na serikal yao ambayo bado inafurahia FUNGATE wa2 wanapeana viwanja bure,mauaji,rushwa,hali ngumu ya maisha,ajali,hakuna uhuru wa kuongea na kuabudu na mengineyo lakini nani...
  9. K

    Uvamizi wa CUF Arusha waikatisha ziara ya CHADEMA kusini

    Ukitaka kuruka agana na nyonga CUF wamekurupuka 2,wamepoteza vyuto wajiulize wamejikwaa wapi!!
  10. K

    Nyerere na Sokoine wakifufuka wataomba kurudi kuzimu

    Henzi zao haya yalikuwa mwiko rushwa,unyonyaji,kuchanganya biashara na uongozi,kujilimbikizia mali,walisisitiza umoja wa nchi na chama,walipinga ukabila,UDINI,ukanda, ukupe,kutoa nje siri za nchi na chama,elimu bora,uwajibikaji,walihemu Tunu za watanzania,maendeleo ya vijiji,n.k lakini hali kwa...
  11. K

    Kiswahili darasani kingereza kwenye mtihani

    ndiyo maana yake!! Yale yale ya there is somebody gas....
  12. K

    Kiswahili darasani kingereza kwenye mtihani

    Basi kama kuelewa mpaka utumie kiswahili kwanini tufundishwe kwa kiswahili tu. Kingereza kwa Waingereza bhana
  13. K

    Namtaka mke wa kakangu kimapenzi nifanyeje

    Kakangu mkubwa anamke wake wa ndoa na wamebahatika kupata watoto wa 3 kutokana na ukaribu nilionao na shemeji(mke wa broo) nimeanza kumtamani kimapenzi mpaka na yy ameshagundua hisia zangu kwake na yy ameanza kunifanyia vituko vya kuniashiria kuwa naye yupo tayari kusex na mimi bt me napiga moyo...
  14. K

    The ufisadi of udom

    Hatupo jamvini kusoma majungu tu. Komaa kifikra kwanza unaposema principle mhaya hueleweki ninavyojua udom ina college 6 na mapriciple katika kila college mapinciple km 3 n wahaya mf.prof.kabigumila Education, prof. Rubagumya CHSS unazungumzia nani. Acha ubaguz wa kikabila
  15. K

    Kiswahili darasani kingereza kwenye mtihani

    We mzungu mweusi vp huoni fahari kuzungumza lugha ya kiswahili ambayo n miongon mwa lugha zinazotambulika kimataifa? Hakuna taifa liloendelea kwa kupga teke lugha yake ya asili mf. Uingereza-kiingereza, China-kichina, japan-kijapan, ujerumani-kijerumani, france- french n.k. Nini hatima ya...
  16. K

    Kiswahili darasani kingereza kwenye mtihani

    Ni kawaida ktk shule zetu mwalimu hata wa somo la english aingiapo darasan kuamkiwa "shikamoo mwalimu" naye huitikia "marahaba kaeni chini" na somo la dakika 80/40 litaendeshwa kwa kiswahili na kingereza juu juu, imezoeleka mwalimu awe wa history,geography, civics,math n.k kufundisha kwa lugha...
Back
Top Bottom