Ndoa ya CCM na CUF msalaba kwa wazanzibar

Kwetu Kwao

Member
Jun 7, 2012
16
3
Waswahili husema ndoa bila kitchen party si ndoa ni matanga. Ukitaka kujua ukweli waulize wazenji uovu unaofanywa na serikal yao ambayo bado inafurahia FUNGATE wa2 wanapeana viwanja bure,mauaji,rushwa,hali ngumu ya maisha,ajali,hakuna uhuru wa kuongea na kuabudu na mengineyo lakini nani atamkosoa mwenzake Maalim na Shein na wafuasi wao wanashirikiana kula nchi. Na washauri wazenji badala ya kupinga ndoa ya Tanganyika na Zanzibar pingeni ndoa ya CUF na CCM 2tawaunga mkono na tofauti za fulani ni mshika bible na huyu Qur'an zitawekwa pembeni
 
Waswahili husema ndoa bila kitchen party si ndoa ni matanga. Ukitaka kujua ukweli waulize wazenji uovu unaofanywa na serikal yao ambayo bado inafurahia FUNGATE Na washauri wazenji badala ya kupinga ndoa ya Tanganyika na Zanzibar pingeni ndoa ya CUF na CCM 2tawaunga mkono na tofauti za fulani ni mshika bible na huyu Qur'an zitawekwa pembeni
Mkuu Kwetu, imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa
Matusi hayo.

Mimi ni CCM lakini wewe Pasco hii lugha uliyotumia hapa ni ya kishenzi na si lugha ya kisiasa.

Punguani wahed.
Nisianze nini wewe? hakuna ndoa ya kisiasa duniani, sijawahi kuona, onesha moja kama u mkweli.

Hizi lugha za kishenzi pelekeni hukohuko, kama kwenu ni kawaida wengine zinatuudhi. kama huo si ushenzi na matusi ni nini?
Muafaka wa kisiasa wa Zanzibar ni faraja kubwa kwa Wazanzibari kushirikiana na kuijenga nchi yao, na huo muafaka si ndoa, kufikiri hivyo ni kuwatukana Wazanzibari na matusi si uungwana.

Hayo yalianzia huku bara baina ya Tanganyika na Zanzibar ilikuwa ikiitwa ndoa ikapigiwa kelele kuwa hilo si neno jema ni kutukanana, siku hizi halitumiki sasa

Natoa wito tusilitumie tena neno hili ndoa!.

Pasco
 
Mkuu Kwetu, imeelezwa hilo neno ndoa ni tusi kwa wenzetu!. angalia hapa


Natoa wito tusilitumie tena neno hili ndoa!.

Pasco

Tumia neno ndoa upendavyo lakini usitumie majina ya watu na heshima zao kuwatukana kwa kisingizio cha tafsida, nimekwambia matusi si sifa ya wanamme ni sifa ya mashoga. Sasa kazi kwako amma funguka tujuwe tuna deal na nani.
 
Tatizo lenu ni dogo tu nyinyi, asilimia kubwa ni watoto munaozaliwa nje ya ndoa baada ya mama zetu kuleweshwa na wakapelekwa maguest house kisha mukazaliwa nyinyi, ndio maana munakosa maadili, munakuwa makatili (kuuwa albino), majambazi, makahaba kwa wingi na kila aina ya ubaya unaofanya na watoto wasiokua na maadili munaufanya nyinyi. Haya maneno uliyoandika hapa yanadhihirisha kama Wewe ni mtu wa aina hiyo
 
Mueka mada una uhakika ndoa ya baba yako na mama yako walilala pamoja ndio ukapatikanwa wewe?au muulize mkeo huyo mtoto wako ni wako kweli ?
 
Nusu ya watanganyika bwana ni watu wa ajabu sana! Wakati mwengine huwa hata sipati picha kama akili zao ni za nguruwe pori au hawa nguruwe wa kufugwa! Maana ndani ya nchi yao kuna shida kubwa zinawakabili ambazo kila siku ya kalenda wanapiga hatua kurudi nyuma.

Wao kila siku ni Zanzibar na Zanzibar na wao huku wakisahau nusu na robo ya watanganyika hawana Maji safi, elimu, afya bora n.k

Pamoja na matatizo yote hayo kuna kashfa za escrow, epa, Richmond, mauji ya albino n.k! Yote hayo hawayaoni wala hayawakeri! Wao kubwa linalowakera na kuwaumiza roho ni mapatano ya wazanzibar kutoka CCM na CUF.

Ukitaka kutoa kidondo kilichomo katika jicho la mwenzako basi anza kutoa boriti lilimo katika jicho lako! Maana kukereka kwa matatizo ya mwenzako wakati mwenyewe una matatizo kibao huo no uhayawani na upunguani.
 
Tumia neno ndoa upendavyo lakini usitumie majina ya watu na heshima zao kuwatukana kwa kisingizio cha tafsida, nimekwambia matusi si sifa ya wanamme ni sifa ya mashoga. Sasa kazi kwako amma funguka tujuwe tuna deal na nani.

We mtu au jini ....
 
Kwa akina pasco baba anamwingila mwana, kaka anamwingilia dada, mama anamwingila mwana,jike anatembea jike mwenzake,dume na dume mwenzake
hio ndio family ya pasco huwezi kujua kama baba yake ni babu yake au ni kaka yake
ndio maana haelewi maana ya ndoa
 
Hali ya Znz uchaguzi huu ni mbaya sana hata kuliko malinduzi ya 64.
Ccm rating yake iko chini sana.
Kuwatia masheikh ndani bila sababu na ccm kukataa mamlaka kamili kwenye katiba kumekifanya chama hicho kukosa mvuto wa kidini na kisiasa.
Maneno ya lukuvi ni msumari wa mwisho kulipugia jeneza la ccm znz.
Hali ni mbaya sana.ila mitu kimoja kiko wazi hawatakubali kutoa nchi hivi hivi. Na kuna kila dalili cuf kutokubali kuibiwa hivyo yatakayo tokea ni zaid ya 64 . Kina lukuvi wameshasema hawaichi znz hata kama kuua wote.

Na ccm sio znz tu hata huku Tanganyika haindoki hata wakioata kura 10
Ccm haija jaribiwa kukubali kushindwa wala kukubali kushindwa.
Tuwaombee znz lakini naina Okello mwengine kupelekwa ili kuwamaliza
 
Back
Top Bottom