Search results

  1. MotoYaMbongo

    Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

    Usilinganishe Ukristo na mambo ya hovyo hovyo.
  2. MotoYaMbongo

    Maandamano Iran: Hadi watu 35 wamekufa baada ya mwanamke kufia mikononi mwa polisi

    Uonevu tu dhidi ya wanawake. Wamechoka sasa.
  3. MotoYaMbongo

    Unyama huu wanaoufanya Polisi utamgharimu Rais Samia

    Hayajakukuta ya Panya road ndio maana unaandika hivi. siku yakikukuta ndo utajua umhim wa Polisi kusaga kunguni.
  4. MotoYaMbongo

    Nimefurahi kuona maandamano nchini Iran

    Wairan sio Waarabu ni Waajemi, ni pisi kali kinoma
  5. MotoYaMbongo

    Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Acha ushamba, Walimu kibao tu wanatumia technology kufundishia. Mbona mna chuki sana kwa walimu?
  6. MotoYaMbongo

    Serikali kugawa vishikwambi kwa walimu Nchini

    Acha wivu. Acha walimu wapewe.
  7. MotoYaMbongo

    Huawei imetoa simu mpya Mate50 Pro ambayo ni flagship yake mpya

    USA wameshasema watapunguza vikwazo dhidi ya Huawei hivi karibuni.
  8. MotoYaMbongo

    Naibu kamanda mkuu wa Jeshi la Israel aangamizwa na Wapalestina

    Ni habari nzuri kwa Waaranu weusi kama wewe.
  9. MotoYaMbongo

    Hatimaye Urusi yaamrisha wanajeshi wake waondoke eneo la mapampano kuepuka maafa zaidi

    Kwa hiyo inteligensia ya jeshi la Ukraine imeshindwa kujua huo mtego, wewe ndio umeugundua. Waswahili tuna shida sana.
  10. MotoYaMbongo

    Kwanini watu wa hali ya chini wanamchukia sana Rais Samia?!

    Dola ndilo huamua nani aongoze nchi hii ndugu na si wananchi.
  11. MotoYaMbongo

    Kwa Kikosi hiki hatari cha Yanga SC, nisiwe mnafiki Simba SC tuna kazi na nawaona Yanga SC mabingwa wa Ligi Kuu na watafika mbali CAFCL

    Yanga wajinga kweli, kwani kolo ni tusi? kolokolo matangazo ya pesa kwenye jezi, sasa ni tusi hilo? Kweli Manara aliwaburuza sana.
Back
Top Bottom