Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

Sijui waliingiaje mkenge wa hiyo dini ya mwarabu, Persians ni watu wenye akili sana na wangekua mbali sana leo hii isingekua huo uzombi wa kidini.

Hiyo dini ingeachiwa waswahili na waarabu basi.
Ona hii kuku ya kasarani.
 
Maandamano bado yanaendelea hadi hii lieo.

Niliposikia hii habari ikabidi nianze kufuatilia ukweli wake.

Hadi sasa makundi ya wanawake wanazidi kuongezeka barabarani na kuchoma hijabu zao.

Wako vichwa wazi kabisa na wana nywele ndefu za kupendeza sana.

Nadhani wanawake wa Kiislamu wamechoka na tabia ya kufunikwa mitambala sasa.

Watoto wanataka waonekane na wawavutie wenza wao, waoneshe urembo wao, sasa hivi urembo ni pesa.

Kuwafunika warembo na mitambala ni dhambi kubwa huku wanaume hawajifuniki.

Mkitaka hivyo jifunikeni wote basi.
Hiyo mitambala muache macho tu.

Eti Dini ya Khaki
My foot.
 
Hakitobadilika chochote hata wakiandamana nchi nzima! Kama hawataki wahame nchi, ila sheria zitabaki pale pale!
 
Haya mambo haya, Naomba mnisaidie hili wajuzi.

Kama issue ni kujistili kwann na wanaume wasivae hijab ili kuficha Sehemu ya miili yao inayoweza kumsababishia mtu mwingine kushawishika?
Sheria nyingi za dini, iwe uislamu au ukristo, zipo kwa ajili ya kukandamiza wanawake.
 
Sijui waliingiaje mkenge wa hiyo dini ya mwarabu, Persians ni watu wenye akili sana na wangekua mbali sana leo hii isingekua huo uzombi wa kidini.

Hiyo dini ingeachiwa waswahili na waarabu basi.
Ilikuwa inaenezwa kwa upanga. Ni either you comply or die. Hata sasa inasimamiwa kwa upanga, that's why huyo binti aliuawa kwa kukiuka masharti.
 
Endeleza kuwashabikia hao wenzio wazungu kasoro rangi wanatupiga risasi kila kukicha huko kwao Hilo hulijui wala hulioni
Halafu huwa mnaiga hadi kujilipua mabomu, yaani mwarabu anakujaza mzuka wa dini yake hadi unawalipukia Waafrika wenzako...

Bora wahamie dini za kikristo . Waachane na dini kandamizi kwa wanawake . Na waanze kuvaa Bikini wakienda beach na sisi tufaidi
Ikiwa wanataka kufunga ndoa za jinsia ndio watakuja huko kuungana nanyi ndani ya ukiristo
 
Endeleza kuwashabikia hao wenzio wazungu kasoro rangi wanatupiga risasi kila kukicha huko kwao Hilo hulijui wala hulioni

Ikiwa wanataka kufunga ndoa za jinsia ndio watakuja huko kuungana nanyi ndani ya ukiristo

kwani nyie wa dini ile mnapomshabikia Urusi yeye sio mzungu?
 
Ni sawa na kusema, Watu wa Shinyanga siyo Watanzania, ni wasukuma.

Waarabu na WaIrani wana tofauti. See the below link.

Haya mambo haya, Naomba mnisaidie hili wajuzi.

Kama issue ni kujistili kwann na wanaume wasivae hijab ili kuficha Sehemu ya miili yao inayoweza kumsababishia mtu mwingine kushawishika?
Wanaume wanavaa hijab,ambayo ni baina ya chini ya kifua mpaka magotini,tofauti na wanawake kulingana na maumbile yao
 
Back
Top Bottom