Search results

  1. K

    Msaada kuhusu kureset simu

    Jamani wataalam nlikua nareset simu huawei y 530 lakini sas ikiwaka inaishia kuonyesha android tu,wanaojua msaada tafadhali
  2. K

    Wale wa SUA soma maelezo haya

    SELECTED CANDIDATES FOR UNDEGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2012/2013 The management of SUA is pleased to inform the following candidates that they have been selected to join various undergraduate degree programmes for the 2012/2013 academic year which starts on the 8th October...
  3. K

    Waliochaguliwa SUA hapa!

    wale mliochaguliwa SUA tufahamiane hapa! Karibu
  4. K

    Tafsiri ya haya maneno

    jamani naomba mnisaidie tafsiri ya "kuwatetea watu" kwa lugha ya kingereza!
  5. K

    Second round application ya TCU imewadia

    Tembelea www.tcu.go.tz upate habari mpya za second round application!
  6. K

    Majina ya waliokosea fomu za bodi ya mikopo HESLB

    Jamani heslb wametoa majina 2649 ya watu waliokosea mambo mbalimbali katika kujaza fomu haya ni: -kukosekana picha ya mdhamini -kukosekana sahihi ya mwanafunzi -kukosekana sahihi ya wakili au mahakama -kukosekana kwa sahihi ya serikali ya kijiji Tafadhari tembelea heslb.go.tz uweze kuona!
  7. K

    Msaada juu ya eligibility ya kozi TCU

    wadau inakuaje TCU wanakuandikia not eligible kozi zote,kwa mfano mimi kozi zote nane wameniandikia not eligible na nina vigezo vyote hadi zile za kawaida sasa huu ni mtandao ama? na ina effect gani?
  8. K

    kuhusu Bachelor of veterinary medicine

    Jamani wanajf wenzangu kwa wale waliosoma BVM au wenye uelewa juu ya hii kitu,tukizungumzia hali ya kitabu chake and future prospectus meaning value yake pamoja na maslahi (no jokes),asanteni!
  9. K

    selection za vyuo

    Jamani naombeni mnisaidie mimi nimesoma CBG na nimepata division 1 sasa kuna kozi mbili ambazo naona kuna dalili kubwa za kuchaguliwa ila leo naomba mnisaidie kama nursing iko fresh tukizingatia na maslahi pia,asanteni!
Back
Top Bottom