king rockie ATL
JF-Expert Member
- Jun 1, 2012
- 260
- 25
Tembelea www.tcu.go.tz upate habari mpya za second round application!
First round imeishatangazwa? nimefungua profile yangu imeniandikia taarifa kuhusu second round application lakin nilipoenda kwenye selection status nimekuta not yet processed
Tembelea Welcome to HESLB upate habari mpya za second round application!
Tembelea www.heslb.go.tz upate habari mpya za second round application!
hiyo ya heslb mbona sijaona ..
Tembelea TCU Website upate habari mpya za second round application!
Wakuu, mimi najaribu kufungua website ya TCU haifunguki kabisa, kuna shida gani? au wenzangu inafunguka kawaida?
Wakuu, mimi najaribu kufungua website ya TCU haifunguki kabisa, kuna shida gani? au wenzangu inafunguka kawaida?
View attachment 61710
ha ha ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaa