Search results

  1. F

    Urgently needed

    Nimepata chuo na ndooo najiandaa kwenda kufanya reg J3 naomba mnijuze ni kwa muda gani bumu nitapata baada ya kufanya registration. Heko kwa wadau wote
  2. F

    Hii kali kwa Tanzania yetu

    Hi wanajamvi. Nimepata taarifa jana zilizonickitish kweli na kuamua ku2pia kwa wana jamvi ili 2jadili elimu yetu inaelekea wapi. Nipo kijiji kimoja mkoani mtwara kwa ajiri ya kuwaletea maji wana kijiji hawa. Lakini baada ya kufika shule 1 2kakutana na makamu mwl wa shule iyo ya msingi na...
  3. F

    Tatizo la Nokia x2-01

    Jamani naombeni msaada cmu yangu nikifungua sehemu ya games inajiload afu baada ya sekunde kadhaa inajizima na nikichezea button inajirestart yenyewe xo nimeshindwa kuelewa hili ni tatizo gani na ufumbuzi wake ni upi na kinachoniuma zaidi kwenye game ndo nimedownload kila ki2. Natanguliza...
  4. F

    Gud music system

    Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamv. Kwa anayejua aina ya music mzuri uwe wa mwingereza, mchina na wengineo anijuze kwani nahitaji music system nzuri na isiwe home theater kwa aliye dar please anijulishe au kama kuna seller humu ndani apost na picture na ntafurahi...
  5. F

    New and Gud computer

    Wadau naombeni nifunguke kwanza kwa kutoa salamu kwa wana jamvi. Ushauri kwa m2 anayejua aina nzuri ya raptop na specification zake azipost kwani nahitaji a new and brandy computer nzuri bei isizidi 650,000 na iwe na screen pana.mwenye picha za hizo computer azi2pie nizione na iwe ni dsm
  6. F

    Civil engineering only kwa Wale waliochaguliwa DIT only

    Wadau kwa yeyote aliye na swali kuhusiana na chuo iki aulize mapema kwani wa2 weng mkifika pale watawatisha sana hasa kuhusiana na lecture 1 anaitwa Daudi singo
  7. F

    Jamani wale wa Dit vipi?

    Wadau niaje naombeni msaada kama kuna m2 anaselection za dit,mist au arusha tech azi2pie jamvini mana daaaaaa nina mzuka wa kujua nilipo2piwa. Natanguliza shukrani kwa wana jamvi
Back
Top Bottom