Search results

  1. Tambara Bovu

    Wanaume wenye sura nzito, ngumu na chachu ndio huyajua sana mapenzi

    Kweli Mungu hakunyimi vyote. Wanaume wenye sura ngumu, nzito na chachu wanayajua sana mapenzi aisee. Yaani kuanzia maandalizi yake mpaka mwisho wa tukio ni full burudani. Sio sawa na wanaume wenye sura nzuri aisee ambao wengi huleta uzuri wao hadi kitandani. Ndio maana wanawake wengi...
  2. Tambara Bovu

    Wanaume weusi wafupi wana gubu kama mke mwenza

    Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa. Wana hasira za karibu, wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza. Yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. Yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune...
  3. Tambara Bovu

    Wazazi wengi wa kichaga wanaharibu mashine za watoto wao wa kiume.

    Kwanza kabisa mnisamehe kwa wale nitakaowakwaza, ila nimefanya uchunguzi mkubwa kwa kuwashirikisha watu mbalimbali na nimegundua kuwa wanaume wengi wa kichaga wameathiriwa na uvaaji wa chupi zenye kubana sana hivyo kupelekea mashine zao kujikunja au kupinda. Tatizo hili limewakumba wachaga wengi...
  4. Tambara Bovu

    Natafuta Mpenzi wa kula naye raha siku ya valentine

    Kwakweli nimechoka kuwa mpweke kila mara hasa wakati huu wa msimu wa siku ya wapendanao , hivyo basi nami nahitaji mtu wa kuniliwaza katika siku hii tulivu ili moyo wangu utulie na nijihisi kuwa mwanamke kamili. Binafsi nimejaliwa sifa nyingi tu mpaka zile za ziada walizokosa wengine kwahiyo...
  5. Tambara Bovu

    Zitto umewadhalilisha Wabunge wa Viti Maalum CDM; Waombe Radhi

    Nimefuatilia mjadala uliokuwa ukiendelea hapa JF uliokuwa ukijadili kuhusu Zitto,JK VS gazeti la tanzania daima na mmiliki wa gazeti hilo amabye ni Mbowe. Kuna mengi yamesemwa lakini lililoniku na hili la huyu Naibu Katibu Mkuu wa CDM Zitto Kabwe.Katika kujitetea na kuhamishia lawama kwa wenzake...
  6. Tambara Bovu

    Chuo cha uhasibu t.i.a wacharuka, waiburuza mahakamani tume ya uchaguzi

    wanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tanzania leo wameiburuza mahakamani tume ya uchaguzi na Spika wao huku wakimtuhumu kuvunja katiba ya serikali yao kwa kuunda tume kinyume na katiba. Pia wameishitaki tume hiyo kwa kuendesha taratibu za uchaguzi kinyume cha katiba yao ya (TIASO) hivyo kuamua...
  7. Tambara Bovu

    Je unazijua sura za wanaume?

    Kuna maneno nimeyasikia kwa wasichana na wanawake wengi juu ya aina za sura za wanaume na nayaleta kwenu wanajamvi kunisaidia kutambua ukweli zaid. Nimesikia sura za wanaume zimegawanyika katika makundi mbalimbali ambayo ni :- wenye sura nzito,sura kavu,sura chachu,sura ngumu, sura chungu na...
  8. Tambara Bovu

    Hivi ni kwanini wanaume waliooa ni wavivu katika mapenzi..?

    Wanaume wakishaoa ni wavivu sana kwenye mapenzi kuliko awali kabla hawajaoa.unakuta zamani kabla hajaingia kwenye ndoa dume lilikuwa linajituma mpaka mtoto wa kike anakolea,ila akiingia kwenye kiapo anakuwa mzito sana.hasa wanaume hawa waliooa wakishikwa hamu hakuna tena maandalizi kwa wenzi...
  9. Tambara Bovu

    Je unajua kuwa wanaume weupe ndio wanaongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti?

    Wanaume weupe ndio wanaume wanaoongoza kwa kuumiza mioyo ya mabinti na wanawake.wamejaliwa mvuto lakini ni mabingwa kwa mapenzi ya tamthiliya.yaani wanavyojua kuhandle wakati wa mahusiano unaweza kujiona kama malkia.ni wepesi wa 'am sory darling','plz baby come back','love u more than n'thin in...
  10. Tambara Bovu

    Je ni kweli kuwa wanaume wafupi wanayajua mahaba....?

    nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi. wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili kutoa raha kwa mpenzi. nijuzeni basi kama hili ni kweli ili nami nitafute wakwangu mfupi...........!
  11. Tambara Bovu

    Hivi ni kweli wanawake wanaonyonya vidole huwapagawisha sana midume?

    Nasikia eti wanawake wanaopenda kunyonya vidole huwapagawisha wanaume wakikutana nao hadi wanaume wengine huamua kuwatongoza hata kama hawakupanga. eti wanaume huzimika na unyonyaji wa hivyo vidole hadi akili zao zote kuamishia kwenye mapenzi. mie huwa sipendi hawa wanawake wenye akili timamu...
  12. Tambara Bovu

    Mwandishi Tanzania Daima atangaza kumng'oa Mramba

    na Grace Macha, Rombo MWANDISHI wa habari wa Gazeti la Tanzania Daima, Edward Kinabo (29), ametangaza kuwania ubunge katika Jimbo la Rombo linaloshikiliwa na Basil Mramba. Kinabo ambaye ni mchambuzi wa masuala ya kisiasa, anawania kiti hicho kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Back
Top Bottom