Chuo cha uhasibu t.i.a wacharuka, waiburuza mahakamani tume ya uchaguzi

Tambara Bovu

JF-Expert Member
Dec 19, 2007
585
140
wanafunzi wa chuo cha Uhasibu Tanzania leo wameiburuza mahakamani tume ya uchaguzi na Spika wao huku wakimtuhumu kuvunja katiba ya serikali yao kwa kuunda tume kinyume na katiba.
Pia wameishitaki tume hiyo kwa kuendesha taratibu za uchaguzi kinyume cha katiba yao ya (TIASO) hivyo kuamua kuwachuja wagombea bila kuwapa sababu zozote za kuondolewa kwao.
Hatua hii imenifurahisha sana kwani inaonesha jinsi wanafunzi wasivyokubali kunyimwa haki zao.Haya yanayoendelea vyuoni ndio hayo hayo yanayotokea nchini kwetu.

chanzo cha habari ni mimi mwenyewe kwa kuwepo eneo la tukio na kuyaona yote.wanafunzi walioipeleka tume hiyo mahakamani ni Martha Noah, Kayuni Benson, Aron Kabuka, Ibrahim Mandoa na Daniel Chanai.
 
Karibu Jamvini Mama wa Kwanza tulikumiss..!!
 
safi sana walizidi ufala haki lazima ipatikane itakuwa wamewaiga magamba hao kumkata mtu then hawampi sababu.
 
Back
Top Bottom