Wanaume weusi wafupi wana gubu kama mke mwenza

Tambara Bovu

JF-Expert Member
Dec 19, 2007
585
140
Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.

Wana hasira za karibu, wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.

Yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu.

Yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.
 
Mmmmmh!!!! Sijui umepatwa na nini mpaka kufikia kuandika hivyo!!!!!

Inategemea na tabia ya mtu bhana, sio kwamba ukiwa mfupi mweusi basi ndo utakuwa na tabia hizo.
 
Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.wanahasira za karibu,wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.
Ndo mshindo nyuma wa Valentine huu? kuchagua kote ukajikuta umetoka na Mweusi mfupi
 
Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.wanahasira za karibu,wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.
sema mabwana zako uliokutana nao ndo wako hivyo
 
Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.wanahasira za karibu,wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.

First lady hujambo, naomba nikufahamu kupitia PM. Contention yako needs thorough research before reaching such a hurting and controversial conclusion.
 
Hahahahaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!! Hureeeeeeeeeeeeeeeee!!!! Nimechekaaaaaaaaaaaaa maana umegonga ikulu Loh! na wanavyoweza kujitutumua kujionyesha wanaweza na wanamiliki vitu vikubwa, pamoja na kwamba wana hela. Loh! ngoja waje utawajua tu kutokana na michango yao.
Cc Wiyelele njoo kipande hii usome, maana si wanawake wafupi ndiyo wanavituko hata wanaume.
 
Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.wanahasira za karibu,wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.

cku zote nilikuwa nakuona kama vile ni mtu ambae una uelewa mkubwa hivi kuhusiana na namma ambavyo maisha yakienda na kubadilika na hivyo ndivyo unavyotakiwa uwe(flexible).Fikra za namna hiyo zinatawaliwa na mapenzi ya kitoto zaidi kwamba ili uone mtu anakupenda ni lazima ubembelezwe,na hili ni tatizo kubwa kwa wanawake wengi maan hata pale mnapokosea pia mwataka muambiwe kwa kubembelezwa.Hakika sikubaliani maaneno yako,unachotakiwa ni kubadilika kimtazamo,mapenzi ya utoto hayawezi fanana na mapenzi ya kiutu uzima.

Cku njema kwako mdekaji.
 
Hasira zao hutokana na performance yao kuwa chini ya kiwango kwenye malavidavi

Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.wanahasira za karibu,wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.
 
Weusi to weupe...
sisi damu ya mzee intermediate au?
 
Kwakweli wanaume weusi wafupi hawajiamini kabisa.wanahasira za karibu,wabishi na huwa na gubu kama la mke mwenza.yaani kuamua kutoka na mwanaume mweusi mfupi ni zaidi ya adhabu aisee maana muda mwingi hautabembelezwa zaidi ya kusuluhisha kesi tu. yaani wanatofauti kubwa sana na wanaune weupe wafupi ambao wao hutumia muda mwingi kujitutumua na kujitengenezea uthamani mbele ya mwanamke ili waonekane nao wamo.

mbona umegonga kotekote?...tunajitutumua vip mama?
 
Tafiti nyingine nyingine ni vituko vitupu, mara dushelele za wachaga zimepinda kushoto, leo wanaume wafupi weusi na weupe, Duh kesho utasikia wengine nk.

Atujuze namna anavyokusanya taarifa zake (means of data collection) na sample size ili ku justify matokeo yaake, vinginevyo itakuwa kama story za vijiweni tu.
 
Back
Top Bottom