Search results

  1. W

    Nini maana ya Siasa?

    Ndugu zangu natumai wote ni wazima wa afya njema,naomba nitumie fursa hii kutafakari nanyi maana ya maneno haya kwa mstakabali wa Taifa letu pendwa Tanzania.Neno POLITICS linatokana na neno POLYTICS lenye maana ya POLY=wengi,TICS=Kupe,unaweza akisi siasa yetu na viongozi wanaong'ang'ania...
  2. W

    Lowassa: Tulifurahi, Tulihuzunika na Tutashinda Pamoja

    Politics means Poly=wengi ,Tics=kupe. POLITICS=KUPE WENGI, Hata neno SIASA maana yake Sihasa yaani SIKWELI.
  3. W

    Watz mnashangaa ya mhuni kapuya? Hii ndio taswira halisi wa viongozi wote wa ccm

    Udhaifu wa shekhe si udhaifu wa msaafu na udhaifu wa padre si udhaifu wa biblia.
  4. W

    Mbunge wa Arusha, Godbless Lema aamua kugawa picha za Kugushi za kumdhalilisha!

    Dirty politics,nani atamfunga paka kengere?
  5. W

    Mauaji ya Kimbari ni nini hasa?

    Nimekwenda wakati fulani kwenye makumbusho ya mauaji hayo pale kigali panaitwa KIGALI GENOCIDE MEMORIAL,kwa kweli inahuzunisha ukisimuliwa ilivyokuwa,Tumuombe mungu aitunze amani yetu.AMEN.
  6. W

    Ngumu sana kwa CCM kutoka madarakani kwa miaka ya hivi karibuni

    Ni kweli,hata walioupinzani wamelelewa na ccm,nionavyo sina uhakika kama upinzani unaweza kuitoa ccm kirahisi kama wanavyodhani.
  7. W

    Natafuta english course hapa iringa

    jaribu pale the dream education centre wapo eneo la sabasaba
  8. W

    Dk Slaa ang’ara urais; NI IWAPO UCHAGUZI MKUU UNGEFANYIKA SASA ANGESHINDA.

    Ndugu zangu wa Tanzania na wana Jf wenzangu,kwanza kabisa poleni kwa pirikapirika na mikikimikiki ya maisha ndani ya nchi yetu.Yote heri,Leo naomba kwa pamoja tujaribu kuitafakari kwa mtazamo wa kisiasa hali ya nchi yetu,Je!kama uchaguzi mkuu ungefanyika leo hali ya matokeo kiasilimia...
  9. W

    Chadema yaondoa fitna iringa

    Chama cha demokrasia na maendeleo chadema leo kimefanya mkutano wa hadhara ambao umehudhuliwa na mamia ya watu,viongozi kadhaa wa chama walikuwepo miongoni mwao ni Mh.Nassari,Mh.Msigwa na kamanda Bananga ambae amejiunga na CDM akitokea CCm yapata miezi mitano iliyopita.Mambo mengi yamezungumzwa...
  10. W

    ITV na Wahariri kanjanja

    Hata wewe ungekuwa muandishi/mhariri habari,Si watu wote wangefurahishwa na utendaji kazi wako!Pia kumbuka Saed Kubenea alitendewa nini na wewe ulimpa sh.ngapi kwa ajili ya matibu?Usipende waandishi waitumie akili yako kuropoka,halafu wakipelekwa mabwepande wewe unawaangalia tu bila...
  11. W

    modemu ya mtandao gani ni nzuri kwa matumizi!!

    Vodacom na Zantel zipo vizuri!
  12. W

    Utitiri wa vyama vya siasa nchini una ufanisi/tija gani?

    Viongozi kadhaa wa vyama vya siasa wapo studio wakijadili mada hii!
  13. W

    Mh.msigwa ndani ya ukumbi wa msekwa.

    Tupo ndani ya ukumbi wa Msekwa,tupo Mh.Msigwa mbunge wa Iringa mjini CDM,anazungumza mambo kadhaa lakini anaomba watu wawajibike kwa maisha yao,na wasitegemee ajira za serikali.
  14. W

    Safari bungeni dodoma

    Ahsanteni jamani!Pia nimesahau kuwambieni kioja kimoja,kijana mmoja akataka kutuuzia maji machafu sh.500/=kazi kwelikweli.
  15. W

    Safari bungeni dodoma

    Ndugu wana Jf natumai hamjambo!Leo nipo Dodoma kwa ajili ya mualiko nilioupata pamoja na wenzangu kuja bungeni dodoma,safari yetu imeanzia Iringa majira ya saa mbili asubuhi kwa usafiri wa basi la UPENDO lenye namba T839-ASN na tumefika Dodoma saa moja jioni.Mwenyeji wetu ni mbunge wa Iringa...
  16. W

    A failed assassination plot against Dr. Ulimboka...

    Leo nimeyakumbuka maandiko matakatifu ya Yesu,kwa kweli imeniuma sana hasa nikikumbuka kuzaliwa,kusalitiwa,kuteswa na kuuwawa kwa Yesu kristo.Wengi tungependa Yesu aonekane waziwazi lakini haijatokea na limekuwa suala la kiimani zaidi ya kwamba Yesu atarudi tena kwa ajili ya ukombozi na...
  17. W

    Eti: "Mgomo wa madaktari - KINARA HOI" Gazeti la CCM

    Hivi ni Doctor's Assasination au Doctor's association?
Back
Top Bottom