Search results

  1. jacobae

    Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    Ok thanks makadirio ya urefu ni kama kilometa ngapi?
  2. jacobae

    Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    Barabara ya huko inapitika kirahisi kwa gari ndogo? Ni km ngapi?
  3. jacobae

    Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

    Hili daraja lilishawahi kupata adha kama hiyo zaidi ya miaka sita imepita sasa. Kilichofanyika wakati huo yale makampuni yenye mabasi mengi yalikuwa yanafanya exchange ya abiria (abiria walivuka kwa miguu) kabla ya kujengwa daraja la muda kupunguza msongamano wa magari ndipo likajengwa hilo...
  4. jacobae

    Msaada usafiri wa ndege kwenda zanzibar

    Duh 10mins!!!! yaani unajiandaa ukae vizuri kwa safari kumbe ndiyo ushafika tena teh teh teh
  5. jacobae

    Desktop Icons zote zimepotea na siwezi ku-right-Click kwenye desktop Windows Xp

    Chief... the link doesn't function, haijafunguka kabisa
  6. jacobae

    Desktop Icons zote zimepotea na siwezi ku-right-Click kwenye desktop Windows Xp

    Naomba nieleweke, kwenye desktop huwezi fanya chochote kwa maana ya kuright click. Hilo swala la kuhide or view desktop icons nalifahamu lakini sio katika hii situation. Naendelea kusisisitza kuwa ni malware or virus naombeni msaada wa kuwatoa sasa.
  7. jacobae

    Desktop Icons zote zimepotea na siwezi ku-right-Click kwenye desktop Windows Xp

    Bado wapo kaka hadi 2015, sawa naendelea kusubiria msaada huo kaka
  8. jacobae

    Desktop Icons zote zimepotea na siwezi ku-right-Click kwenye desktop Windows Xp

    Kuna pc tatu zote zina windows xp, zimekumbwa na malware na wasi wasi kwani desktop icons zote hazionekani na wala siwezi kuright click kwenye desktop. Naomba msaada wa jinsi ya kurescue hii situation. Asanteni.
  9. jacobae

    TRA na Ukaguzi wa 'fire stickers'

    Inasemekena zinaendana na ukubwa wa engine (CC)ya gari yako, kwa kifupi kama walivyocategorize cc kwenye road license sticker
  10. jacobae

    Madaktari bingwa Muhimbili waanza mgomo

    TuneIn Web Tuner
  11. jacobae

    Natafuta SONY VAIO VGN-CS21S/R drivers Wen Cam DRIVERS

    Kaka acha tu nimegoogle hadi kichwa na macho vyote vinauma bila bila. Nikaamua niombe msaada kwa wadau wengine hapa. Poa.
  12. jacobae

    Natafuta SONY VAIO VGN-CS21S/R drivers Wen Cam DRIVERS

    Habari wana JF. Natafuta drivers za web cam ya sony VAIO laptop model VGN-CS21S/R. Laptop ina Windows 7. Nitashukuru kuipata..
  13. jacobae

    EURO 2012 mechi ni saa ngapi kwa saa za Tanzania?

    Asante sana kaka nimekupata 100%
  14. jacobae

    EURO 2012 mechi ni saa ngapi kwa saa za Tanzania?

    Asante sana baba_enock
  15. jacobae

    EURO 2012 mechi ni saa ngapi kwa saa za Tanzania?

    Time iliyoonyeshwa ni ya kwetu TZ ama iko katika format ipi?
  16. jacobae

    EURO 2012 mechi ni saa ngapi kwa saa za Tanzania?

    Muda huo nimeu-quote toka hapa Euro 2012 fixtures | Football, Live Soccer, Socceroos Results | Fox Sports basi na tusubiri tutajuwa tu muda halisi ni upi.
  17. jacobae

    EURO 2012 mechi ni saa ngapi kwa saa za Tanzania?

    Naona wadau kimya au ndo wanafanya conversion kwa waliosoma geography!
  18. jacobae

    EURO 2012 mechi ni saa ngapi kwa saa za Tanzania?

    Wadau habari zenu. Jamani naomba kwa anaejuwa saa za Warsaw Poland 2am na 445am kwetu TZ inakuwa ni saa ngapi maana mechi zote zitachezwa muda huo. Nawasilisha.
  19. jacobae

    Tafadhali isomwe na wanaume tu - inawahusu zaidi

    Ha ha ha ha nimecheka mpaka basi ukweli mtupu.
Back
Top Bottom