Mafuriko makubwa yatokea wilayani Dumila,barabara ya Morogoro-Dodoma yafungwa

Barabara ya huko inapitika kirahisi kwa gari ndogo? Ni km ngapi?

Barabara inapitka vizuri sana, ukitoka moro unafuata iringa rd unaingilia pacha ya kilosa-kimamba-ludewa-unatokezea ktk lami toka kilosa town unaunga na lami hadi dumila
 
Barabara inapitka vizuri sana, ukitoka moro unafuata iringa rd unaingilia pacha ya kilosa-kimamba-ludewa-unatokezea ktk lami toka kilosa town unaunga na lami hadi dumila

Ok thanks makadirio ya urefu ni kama kilometa ngapi?
 
Utasikia nape na kinana wasema
Mafuriko yamesababishwa na CDM
Maana hawaishagi vituko Maccm
Poleni sana mliofikwa na janga hili
Mungu awatie Nguvu awaepushe na
Magonjwa ya milipuko.
 
Magufuri ni Jembe aliyetolewa mafichon na Mkapa siku tatu tu njia tayari.
 
Back
Top Bottom