Natafuta SONY VAIO VGN-CS21S/R drivers Wen Cam DRIVERS

jacobae

Member
Oct 29, 2007
68
1
Habari wana JF. Natafuta drivers za web cam ya sony VAIO laptop model VGN-CS21S/R. Laptop ina Windows 7. Nitashukuru kuipata..
 
Dah aisee kaka kama ukipata naomba na mm coz drivers za hizi Sony zimekuwa kimeo full
 
Dah aisee kaka kama ukipata naomba na mm coz drivers za hizi Sony zimekuwa kimeo full

Kaka acha tu nimegoogle hadi kichwa na macho vyote vinauma bila bila. Nikaamua niombe msaada kwa wadau wengine hapa. Poa.
 
mh, kumbe tuko wengi, halafu hata spair za hizi miundombinu ni tabu kweli, jana nimezunguka kariakoo natafuta bettry hadi nimejichokea bila mafanikio, kweli hapo kwenye driver za webcome umenena mkuu, link jamani tunaziombeni
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom