Search results

  1. M

    Nani mwenye CV ya Fred Ogoti?

    Huyu bwana anafanya kazi kisanii sana kwenye gazeti la Guardian On Sunday kama mhariri wa michezo. Bahati mbaya sana lugha inampiga chenga na pia hajui bahari za michezo, ninasikia kwamba kabla ya kuhamia kwenye magazeti ya Mengi alikuwa Daily News kama proof-reader, lakini leo ni mhariri wa...
  2. M

    Mhariri huyu wa michezo amulikwe uwezo wake.

    Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza, yaani ni aibu tupu. Kwa ujumla ni kwamba anafanya kazi 'kisanii' sana. Nimesema hayo kwa sababu...
  3. M

    Nani anahitaji siasa za majitaka kama hizo?

    Ni vema wana siasa wakatambua kwamba wananchi wa sasa hawadanganyiki, wanahitaji sera zinazotekelezeka na siyo siasa za majitaka ambavyo baadhi ya vyama vimekuwa vikifanya.
  4. M

    Mabasi zaidi ya 20,yakwama Wami

    Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti. Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama...
  5. M

    Makongoro atapona kwenye kesi ya kupinga matokeo?

    Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti. Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama mhariri...
  6. M

    Makongoro atapona kwenye kesi ya kupinga matokeo?

    Kwa jinsi mwenendo wa kesi unavyokwenda nina mashaka kama kigogo huyu atapona, kilichobaki ni kwamba huenda akavuna alichopanda.
  7. M

    Asent Benki Kuu kwa kuongeza muda wa kutoa taarifa zetu kwenye mabenki

    Mimi nilikuwa mmojawapo wa wale ambao walikuwa hawajawasilisha taarifa zao benki, hivyo hatua ya beki kuongeza muda wa kupeleka taarifa hizo imenirahisishia kazi hiyo, sasa nina uhakika wa kuzipeleka bila tatizo.
  8. M

    ITV na TBC acheni unafiki wa kisiasa kwa kuipendelea CCM Arumeru Mashariki

    cha muhimu ni mgombea kunadi sera hiyo wingi wa watu kwenye mikutano, kwani wengine hufika kusikiliza tu.
  9. M

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    Ni kweli Tanzania bila ubabe inawezekana, hivyo cha msingi ni ustaarabu katika kampeni badala ya kutumia hoja za nguvu, atumie nguvu ya hoja atakuwa amefanikiwa.
  10. M

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    Waacheni wahangaike ila wananchi wa Arumeru Mashariki ndio watakaoamua mtu wa kumpa kura Aprili Mosi.
  11. M

    Mkapa: Wapinzani ni wajinga na hawana adabu

    ukweli utajulikana kwani watanzania wa sasa siyo wa mwaka 47. Hawa ni watanzania siyo wadangatika wa enzi hizo na bahati nzuri vijana wamehamasika vya kutosha siyo kama zamani walidhani kwamba kumkataa mgombea ni kukaa nyumbani wakati wa uchaguzi bali kupiga kura ili kumwongezea ushindi yule...
Back
Top Bottom