Makongoro atapona kwenye kesi ya kupinga matokeo?

mambo moto

Member
Mar 7, 2012
12
0
Kwa jinsi mwenendo wa kesi unavyokwenda nina mashaka kama kigogo huyu atapona, kilichobaki ni kwamba huenda akavuna alichopanda.
 
Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti.
Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama mhariri wa habari za michezo kwenye gazeti ya The Guardian On Sunday baada ya kuondolewa kwenye gazeti la Guardian la kila siku.
Kama ninavyomjua Ogoti ni kwamba hana uwezo wowote katika lugha ya kiingereza na hata habari za michezo hazijui, anafanya kazi kwa kubebwa tu na baadhi ya watu na kama wakiamua kumtosa ataumbuka.
Kwa nini kampuni kubwa kama hiyo iwe na watu wa aina hii? Kama mzee Mengi hujui hilo, hebu fuatilia kwenye kampuni yako uone watu wanavyokula mishahara bila kazi za maana. Haya siyo majungu ni ukweli mtupu.
Mhariri huyu ataendelea kufanya kazi kiujanja ujanja hadi lini huku akiwazibia wenzake wenye uwezo wakiwemo akina Florian Kaijege ambao nasikia nao wamehamia kwenye mgazeti yako?
 
Unataka kutupatia habari za Makongoro Mahanga au za Mhariri wa the Guardian? Usitake kuniharbia sabato yangu mimi kwa kukutukana.
 
Bwana mimi ndio nimeshindwa kumuelewa kabisa huyu kiumbe, naona ngoja nijiondokee zangu tu kwenye huu uharo.
 
Nadhani kama mzee mengi hajui, basi wapo watu waliomuingiza mkenge kutokana na kuwepo kwa wahariri wanaolamba mshahara bure huku wakiwa hawa kazi ya kufanya kwenye kampuni yake ya magazeti.
Mmoja wa watu hao ambaye amedumu kwenye kampuni kijanja kijanga ni Fred Ogoti aliyepewa cheo kama mhariri wa habari za michezo kwenye gazeti ya The Guardian On Sunday baada ya kuondolewa kwenye gazeti la Guardian la kila siku.
Kama ninavyomjua Ogoti ni kwamba hana uwezo wowote katika lugha ya kiingereza na hata habari za michezo hazijui, anafanya kazi kwa kubebwa tu na baadhi ya watu na kama wakiamua kumtosa ataumbuka.
Kwa nini kampuni kubwa kama hiyo iwe na watu wa aina hii? Kama mzee Mengi hujui hilo, hebu fuatilia kwenye kampuni yako uone watu wanavyokula mishahara bila kazi za maana. Haya siyo majungu ni ukweli mtupu.
Mhariri huyu ataendelea kufanya kazi kiujanja ujanja hadi lini huku akiwazibia wenzake wenye uwezo wakiwemo akina Florian Kaijege ambao nasikia nao wamehamia kwenye mgazeti yako?

wacha urongo na fitna,mutu mujanja na muelewa hana urongo,we ni mulozi ama muwongo?
 
Kwa jinsi mwenendo wa kesi unavyokwenda nina mashaka kama kigogo huyu atapona, kilichobaki ni kwamba huenda akavuna alichopanda.

Hakuna jinsi ya huyu Makongoro Mahanga anaweza kupona kesi hii; na uchaguzi ukirudiwa atapigwa chini!!
 
Unataka kutupatia habari za Makongoro Mahanga au za Mhariri wa the Guardian? Usitake kuniharbia sabato yangu mimi kwa kukutukana.

Yaani watu wengine wanatia hasira! Habari ilikuwa inamhusu Makongoro jamaa katuchomekea ingine maana yake nini? Nyambaf zake!
 
Kwa jinsi mwenendo wa kesi unavyokwenda nina mashaka kama kigogo huyu atapona, kilichobaki ni kwamba huenda akavuna alichopanda.

Kama haki itatendeka Makongoro haponi kabisa lakini kiini macho kilichotokea kwa Sioi naamini ndicho kitakachotokea katika kesi hii.

Kibaya zaidi baba MwanaAsha sijui kama hakuliona hilo au alifumba macho wakati anamchagua Mahanga kama naibu waziri?
 
Back
Top Bottom