Nani mwenye CV ya Fred Ogoti?

mambo moto

Member
Mar 7, 2012
12
0
Huyu bwana anafanya kazi kisanii sana kwenye gazeti la Guardian On Sunday kama mhariri wa michezo. Bahati mbaya sana lugha inampiga chenga na pia hajui bahari za michezo, ninasikia kwamba kabla ya kuhamia kwenye magazeti ya Mengi alikuwa Daily News kama proof-reader, lakini leo ni mhariri wa habari za michezo. Huo uandishi kausomea wapi?
Mwenye taarifa zake naomba anisaidie jamani, kwani ninahamu ya kufahamu sana habari za huyu fara.
 
Mbona kila siku mnamchafua huyu jamaa?? What is happening guys??
 
Huyu dogo sijui Fred Ogot kamchukulia demu wake?

Kila siku anaibua thread ya kumuulizia huyu mtu..

Umbea bana...dah!
 
Huyu bwana anafanya kazi kisanii sana kwenye gazeti la Guardian On Sunday kama mhariri wa michezo. Bahati mbaya sana lugha inampiga chenga na pia hajui bahari za michezo, ninasikia kwamba kabla ya kuhamia kwenye magazeti ya Mengi alikuwa Daily News kama proof-reader, lakini leo ni mhariri wa habari za michezo. Huo uandishi kausomea wapi?
Mwenye taarifa zake naomba anisaidie jamani, kwani ninahamu ya kufahamu sana habari za huyu fara.

Majina hayo kama mkenya hivi O
 
Acha umbea wa kisichana utasutwa!
 
ningekuwa mimi ni fred ogoti ningekutafuta nikakuoa kama mke wa pili
 
Bwana hachana na mambo ya chuki binafsi. namfahamu fred tangu nina miaka 12. Ninachoweza kusema ni kwamba anapenda chupi na ni mbeya kama walivyowaandishi wote, lakini kwenye kazi ni gwiji. wewe naona jamaa kamega my love wako, kwa hiyo kauka ki uanaume.........huyu ni jaluo usiingilie anga zake, ni wale wale wakurya, utakula kisu
 
Mwe...!
 
Back
Top Bottom