Asent Benki Kuu kwa kuongeza muda wa kutoa taarifa zetu kwenye mabenki

mambo moto

Member
Mar 7, 2012
12
0
Mimi nilikuwa mmojawapo wa wale ambao walikuwa hawajawasilisha taarifa zao benki, hivyo hatua ya beki kuongeza muda wa kupeleka taarifa hizo imenirahisishia kazi hiyo, sasa nina uhakika wa kuzipeleka bila tatizo.
 
Mwisho March 14, 2013.
Kwa tunaopenda kufanya kazi under deadlline tunasubiri tarehe 10. march 2013.
 
Peleka araka mkuu isije ikafika tena ded line ikakuta bado manake wa bongo kwa zima moto,utaona watu awatapeleka ikifika bado siku moja tena utakuta watu kibao ndio wana kimbizana foleni kibao!!!!!
 
Back
Top Bottom