Mhariri huyu wa michezo amulikwe uwezo wake.

mambo moto

Member
Mar 7, 2012
12
0
Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza, yaani ni aibu tupu. Kwa ujumla ni kwamba anafanya kazi 'kisanii' sana. Nimesema hayo kwa sababu ninamfahamu na nilishafanya naye kazi na kutambua uwezo wake. Ushauri wangu ni kwamba kama mzee Mengi hajui hilo, basi ni vema akatambua kuwa kwenye kampuni yake hiyo inayoitwa Jumba Kubwa la Magazeti wapo baadhi ya watu wanatumbua mshahara bure bila kazi akiwemo mhariri
huyo. Nawasilisha.
 
Yani wewe umeikosa hiyo kazi ukaamua kuja kumwaga hasira zako hapa? Nenda kajipange upya uje tena ukiwa smart!
 
Kuna mhariri mmoja wa michezo pale kampuni ya The Guardian Ltd anaitwa Fred Ogoti ambaye sasa inaelezwa kuwa anasimamia dawati la michezo la Guardian On Sunday, hajui michezo, hajui kiingereza, yaani ni aibu tupu. Kwa ujumla ni kwamba anafanya kazi 'kisanii' sana. Nimesema hayo kwa sababu ninamfahamu na nilishafanya naye kazi na kutambua uwezo wake. Ushauri wangu ni kwamba kama mzee Mengi hajui hilo, basi ni vema akatambua kuwa kwenye kampuni yake hiyo inayoitwa Jumba Kubwa la Magazeti wapo baadhi ya watu wanatumbua mshahara bure bila kazi akiwemo mhariri
huyo. Nawasilisha.
Haya sasa ni majungu, namjua Ogot vizuri sana, niliwahi kukaa naye Ilala, Dar ninavyomfahamu labda apewe kashfa kwamba siyo raia wa Tanzania ili aithibitishe, vinginevyo ni uzushi mtupu, eti hajui Kiingereza?
 
Back
Top Bottom