Nani anahitaji siasa za majitaka kama hizo?

mambo moto

Member
Mar 7, 2012
12
0
Ni vema wana siasa wakatambua kwamba wananchi wa sasa hawadanganyiki, wanahitaji sera zinazotekelezeka na siyo siasa za majitaka ambavyo baadhi ya vyama vimekuwa vikifanya.
 
Back
Top Bottom