Search results

  1. M

    Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

    Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara. Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe. Asante sana.
  2. M

    Nissan Xtrail taa ya check engine imewaka

    Hii ni Xtrail ya 2007/8. Taa ya check engine inawaka lakini gari inafanya kazi vizuri tu. Nimejaribu procedure za kui-reset lakini bado. Pia nilichomoa battery kwa sekunde chache lakini bado. Kuna jamaa yangu kaniambia yeye inawaka mwaka wa pili sasa na maisha yanaendelea kama kawaida. Kasema...
  3. M

    Natafuta Lightbox kupigia picha bidhaa

    Natafuta lightbox kwaajili ya kupigia picha za bidhaa. Lightbox ndogo kwa picha za viatu na mikoba. Au kubwa za kupiga magauni ya kike. Kama unafahamu mahali zinapatikana kwa Dar au Mwanza nitashukuru sana.
  4. M

    Mwanza: Nahitaji simtank

    Kama uko maeneo ya Mwanza na una Simtank used unauza, naomba tuwasiliane inbox tufanye biashara. Asante sana.
  5. M

    Seeking a woman to chat with.

    Nimezaliwa miaka 40 iliyopita. I am looking for a woman to chat with and share life and world views, and to some extent enjoy this life. Bado niko single, hata kama she is married still we can chat. Life is full of suprises. You are welcome.
  6. M

    Natafuta lense ya camera, Samsung NX1000

    Camera yangu Samsung NX1000 lens yake size 28 - 50mm imepata shida, na sitaweza kuitumia tena. Natafuta lens nyingine. Iwe size yoyote, iwe kit lense au prime lens. Cha msingi ni maelewano ya bei. Kama una lens inayo-fit camera hiyo, naomba tuwasiliane PM. Asanteni sana.
  7. M

    Natafuta Camera lense ya Samsung NX1000

    Camera yangu Samsung NX1000 lense yake size 28 - 50mm imepata shida, na sitaweza kuitumia tena. Natafuta lense nyingine. Iwe size yoyote, iwe kit lense au prime lense. Cha msingi ni maelewano ya bei. Kama una lense inayo-fit camera hiyo, naomba tuwasiliane PM. Asanteni sana.
  8. M

    Msaada: Mwenye uzoefu ku-unlock simu

    Habari wakuu, Nina jamaa yangu yupo Canada na anasema kuna simu nzuri na bei yake ni cheap. Ila hizo cheap phone ziko locked na network provider wa huko. Anasema mfano, simu nzuri unaweza kuta ni Canadian dola 200 na iko locked na certain network provider. Ku-unlock simu kama hiyo kwa Canada...
  9. M

    Am lonely male

    Looking for a woman. Am 39 years of age now with one kid and lonely. Story zaidi ni inbox.
  10. M

    Natafuta kazi kwenye Makampuni ya Gas & Oil

    Habari za saa hii wakuu. Natafuta kazi kwenye kampuni zinazochimba gas na oil hasa maeneo ya kusini. Naomba mdau mwenye contact za haya makampuni anipatie niweze kujaribu bahati yangu. Mimi ni fundi umeme na elimu yangu ni ya FTC, pia nina leseni ya Hight voltage. Asanteni.
  11. M

    Msaada: 'Ares' inakataa.

    Wadau naomba msaada. Ninatumia modem ya Voda. Nime-download 'Ares', nime-install lakini haifanyi kazi. Kuna kitu nimekosea? Naomba msaada wenu jamani.
  12. M

    Hodi.

    Hodi waungwana. Nimekuja ku-share ideas na news, kuchota ideas news etc. Habari zenu wote.
Back
Top Bottom